Na yahoo messenger video calls umeweka mahedifoni makuubwa kichwani.Enzi hizo Hotmail ilikuwa mbabe
Yahoo messenger kulikuwa na chatroom moja inaitwa Britney spears nilikuwa naipenda sana hiyo chatroom nachat na waarab na wahind kila dem namtongoz way back 2004Na yahoo messenger video calls umeweka mahedifoni makuubwa kichwani.
Hivi marafiki.com ndio darchat.com huo marafiki kiukweli niliutumia na ukanipa faida!.Umenikumbusha long sana mkuu ulianza kama chatroom ukiingia kuna picha ya mvulana na msichana wamekaa kwenye bembea then unaweka any username unazama kwenye chatroom bila kusahau imabidi computer iwe installed na java software ili uweze kuchat.
Later wakaugeuza kama dating site ukawa na rangi ya damu ya mzee ikawa lazima ujisajiri. Scammers wa mtandao wakahamia kule full picha za mademu wakali kumbe fake.
Ulikuwa unaitwa marafiki.com au darchat.com vyovyote utakavyoandika una directiwa huko.
Nahisi walikosa wadhamini wakashindwa endelea uendesha kwa maana kuna kipindi walishindwa lipia hata hosting.
Mitandao mingi ilikufa mfano kilikuwa na ule wa ipp ukijulikana kama darhotwire, kulikuwa na mzibo.net.
Kitambo sana miaka ya 2004 huko