Ni nini kazi ya TBS?

Ni nini kazi ya TBS?

plusboy

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
46
Reaction score
21
Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima ubora upi???? wa viwango??
nawasilisha
 
Every person is responsible for his/ her health. Ile ni just a caution tuu kukupa awarenees.
 
Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima ubora upi???? wa viwango??
nawasilisha
Ofisi ziko ubungo zinapakana na kituo kikuu cha mabasi nenda kapate jibu kutoka kwa wahusika
 
hata panadol, earphobe, TV, movies, ngono, beer N.K vina "cautionary advice"!
 
Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima ubora upi???? wa viwango??
nawasilisha

maana ya TBS kusubili order kama jeshi la polisi linavo pokea toka juu.
hivi unakumbuka yale ya AZam na unga wake
 
Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima ubora upi???? wa viwango??
nawasilisha
kama siyo uwepo wa TBS hata hiyo tahadhari usingeiona.
 
Back
Top Bottom