Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

Najua uko apo SUA sio kila kitu utafundishwa darasani nenda beyond..

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
...🧑‍💻🧑‍💻🧑‍💻..hapana mkuu...SUA nimetoka kitambo sana....nadhan huu mwaka wa 5 nipo kwenye battle ground...(sio ofisini kwenye kiyoyozi)...vingi nilijifunza nikiwa hapo SUA na nimejifunza zaidi nikiwa huku unapo paita beyond...na bado natamani kujifunza... science ni universal...so tell me...how on earth placentophagy could cause microorganisms imbalance in the rumen...and why are u administering Epsom salt...
 
.....hapana mkuu...SUA nimetoka kitambo sana....nadhan huu mwaka wa 5 nipo kwenye battle ground...(sio ofisini kwenye kiyoyozi)...vingi nilijifunza nikiwa hapo SUA na nimejifunza zaidi nikiwa huku unapo paita beyond...na bado natamani kujifunza... science ni universal...so tell me...how on earth placentophagy could cause microorganisms imbalance in the rumen...and why are u administering Epsom salt...
Nimeshaeleza kwenye comment zangu za hapo juu kidogo.
Embu elezea labda wewe unaweza kuwa na uelewa mkubwa zaidi yangu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
USHAURI KWA WAFUGAJI:
usitumie matibabu unayopewa na watu online kwenye mifugo Yako...GO SEE A VET SURGEON OR VET TECHNICIAN...our animal deserve better than this..mbona Hawa watu wapo mpaka huko vijijini
NA KWA WATAALAMU WA MIFUGO
It's okay kutoa ushauri online but it's not okay Kufanya clinal diagnosis na kutoa prescription (RX) ya madawa online (bila kumuona mnyama)..animal health is much more complicated with a lot of variables nadhani kuliko hata binadamu...the best answer for people asking FOR online prescription is "GO SEE A NEARBY VET"...mbona wenzetu upande wa binadamu hawafanyi hivo?
STOP IT
 
Binafsi kitambo kidogo walikua wanatuambia tusimzuie Ng'ombe kula kondo la nyuma kwa sababu inamsaidia kuhoresha afya yake na maziwa hayakuwahi kupungua. Haya yalikua maelekezo ya babu ambae ni mzoefu wa kufuga na elimu ya kujua kusoma na kuandika tu. Leo ndo nasikia kile kitendo kinapunguza maziwa.
 
Nimeshaeleza kwenye comment zangu za hapo juu kidogo.
Embu elezea labda wewe unaweza kuwa na uelewa mkubwa zaidi yangu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa maziwa kunakosababishwa na placentophagy (which is also not true) even if tukiassume ni kweli uhusiano unatoka wapi hapo..Epsom for hormone problems..real?....kuwa serious kidogo basi....
Then ukaleta hoja ya placenta kuharibu micro organism kwenye rumen..sijajua ulitaka kurelay vipi na case ya kupungua kwa maziwa...but umelihamisha tatzo kutoka kwenye hormone mpaka kuwa digestion problem....then ukaleta case ya bloat....duuuuh...naona hata hueleweki...
Nadhan kabla ya kumshauri huyu mfugaji ungefanya japo research kidogo...
 
Binafsi kitambo kidogo walikua wanatuambia tusimzuie Ng'ombe kula kondo la nyuma kwa sababu inamsaidia kuhoresha afya yake na maziwa hayakuwahi kupungua. Haya yalikua maelekezo ya babu ambae ni mzoefu wa kufuga na elimu ya kujua kusoma na kuandika tu. Leo ndo nasikia kile kitendo kinapunguza maziwa.
Babu alikuwa sahihi 💯💯💯💯💯💯......kondom Lina hormone zinazoongeza maziwa (oestrogen na Oxytocin)...na Lina madini na viturubisho vinavyosaidia kumfanya kurecover mapema...Iron..kama Babu bado yupo mpe maua yake 🌼🌷🌺🌸🌷...Huwa naenjoy sana nikikutana na wazee wa hivi field..
Kuna vitu vingi wanavijua lakini inakuwa tu ngumu kwa wao kuelezea sayansi iliyopo nyuma yake
 
Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa maziwa kunakosababishwa na placentophagy (which is also not true) even if tukiassume ni kweli uhusiano unatoka wapi hapo..Epsom for hormone problems..real?....kuwa serious kidogo basi....
Then ukaleta hoja ya placenta kuharibu micro organism kwenye rumen..sijajua ulitaka kurelay vipi na case ya kupungua kwa maziwa...but umelihamisha tatzo kutoka kwenye hormone mpaka kuwa digestion problem....then ukaleta case ya bloat....duuuuh...naona hata hueleweki...
Nadhan kabla ya kumshauri huyu mfugaji ungefanya japo research kidogo...
Okay nimekuelewa lakini msimamo wangu utabaki hapo hapo mana kila mtu ana utaalam wake wa kuattend case hiyo haijawihi niangusha ata siku moja.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Okay nimekuelewa lakini msimamo wangu utabaki hapo hapo mana kila mtu ana utaalam
Science ni fact....sio misimamo na mawazo binafsi...na utakuwa hujaelewa....vet.med sio uganga wa kienyeji kwamba kila mtu awe na utaaam wake
wake wa kuattend case hiyo haijawihi niangusha ata siku moja.
Haijawawi kukuangusha kwa sababu hamna tatzo lolote...unakuwa unahisi umetatua tatzo kumbe halikuwa tatzo...
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nadhani wew sio daktari...ungekuwa japo paravet tungekua tushaelewana...ndo maana nikasema tuheshimu taaluma za watu
 
Science ni fact....sio misimamo na mawazo binafsi...na utakuwa hujaelewa....vet.med sio uganga wa kienyeji kwamba kila mtu awe na utaaam wake

Haijawawi kukuangusha kwa sababu hamna tatzo lolote...unakuwa unahisi umetatua tatzo kumbe halikuwa tatzo...

Nadhani wew sio daktari...ungekuwa japo paravet tungekua tushaelewana...ndo maana nikasema tuheshimu taaluma za watu
Sawasawa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom