Umofia kwenu,
Hizi iPhone zinazoimbwa na kusujudikiwa kwanzia huku mtaani mpaka mitandaoni zina uspesho gani hasa wa kipekee? Mwezi wa tatu sasa huu natumia iPhone 7 sijaona upekee wowote, sana sana naimisi Samsung yangu ambayo nilikuwa naitumia hapo kabla.
Labda wakuu, uspecial wa iPhone ni nini haswa?
Kwani Samsung ni brand ya MLatino?Niko na dunduliza visenti mwezi wa saba nijipatie kiapple na mm
Tuache masihara brand ya mUsa huwez kulinganisha na hiz brand za hovyo hovyo
Baada ya kupitia comment zote, nilichokiona wengi tunanunua matoleo ya simu kwa kufuata mkumbo tu. Wengi wetu matumizi yetu yanahitaji simu isiyozidi 100k, iwe na uwezo wa kupiga na kupokea, kutuma sms, kupiga picha, internet na isikose radio na calculator.
Kiduku Lilo atakuja kuwapa tofauti ya chombo cha mawasiliano na simu.
Uspecial wa I phone ni kama ufuatao:-
1. Unaweza kuwa unatumia I phone ya Zamani (Zaidi ya miaka mitano ilopita) kwa OS latest tofauti na Android Phones ambazo kila siku OS inabadilishwa hivyo kufanya simu zinakuwa za kizamani ndani ya kipindi kifupi
2. Uimara na ubora wa simu kama kifaa, huwezi fananisha I phone na Samsung ya aina yoyote ile linapokukwa suala la ubora wa simu kama kifaa
3. I phone ipo kwenye closed eco system hivyo ni ideal kwa watumiaji wasiopenda michanganyiko ya kimatumizi mfano kwenye I phones hakuna sijui mambo ya GB whatsapp sijui app za ajabuajabu na uchafu wake. Kila kitu kimepangiliwa.
4. I phone ni simu ngumu kudukua tofauti na simu za android. Ndio maana I phone hata ukiina ikawa locked sanasana utaishia kuitumia kama spare parts na sio kama simu tena!
5. I phone ni simu ya watu ambao wako organized na mambo yao sio simu ya kuchezeachea, kama wewe ninwale watu ambao kila saa jicho liko kwenye simu kwa mambo ya kipuuzi basi I phone haikufai. I phone sito simu ya kushinda unachat na kuperuzi Instagram na facebook licha ya kwamba inauwezo wa kuaccess huduma hizo.
6. I phone ni Special sababu haifanani na simu nyingine nyingi kama zinavyofanana.
Ni ngumu sana kuielewa I phone kama uliinunua kwa fashion tu au just kutaka kufit in!
leo nakutana na comment zinanizonivunja mbavu
Bei ya huyu mwambaRaha ya simu uicontrol.sio simu umenunua kwa pesa yako then.ukitaka kushea kitu via bluetooth inakataa na options nyengne nyengine kibao.hvo sion cha ajabu kwenye iphone zaid ya security system yake tu.poor iphone.View attachment 1236516
HahahaaaaaaUkitaka kujua uspecial wa iphone embu tumoa itel ndo utaona
I phone ni overrated brand na sioni kama wana ubunifu wowote nashangaa watu wanavyohaha kisa camera tatu wakat kuna simu ina camera tano na ilitoka tangu januaryiPhone ni brand. Angalia sosho media macelebrity wametupia mirror selfie inaonyesha camera 3 pale nyuma. Simu inauzwa 4M kama huna pesa tulia tu. Hata wenye iphone 6, 7, 8 wanaonekana washamba tu. Saivi iphone sio lile tunda tu bali una camera ya muundo gani.
Mimi natamba na S9+ yangu sina presha
Sababu ya msingi ni na. 4 tuu the rest pumba tupu...Uspecial wa I phone ni kama ufuatao:-
1. Unaweza kuwa unatumia I phone ya Zamani (Zaidi ya miaka mitano ilopita) kwa OS latest tofauti na Android Phones ambazo kila siku OS inabadilishwa hivyo kufanya simu zinakuwa za kizamani ndani ya kipindi kifupi
2. Uimara na ubora wa simu kama kifaa, huwezi fananisha I phone na Samsung ya aina yoyote ile linapokukwa suala la ubora wa simu kama kifaa
3. I phone ipo kwenye closed eco system hivyo ni ideal kwa watumiaji wasiopenda michanganyiko ya kimatumizi mfano kwenye I phones hakuna sijui mambo ya GB whatsapp sijui app za ajabuajabu na uchafu wake. Kila kitu kimepangiliwa.
4. I phone ni simu ngumu kudukua tofauti na simu za android. Ndio maana I phone hata ukiina ikawa locked sanasana utaishia kuitumia kama spare parts na sio kama simu tena!
5. I phone ni simu ya watu ambao wako organized na mambo yao sio simu ya kuchezeachea, kama wewe ninwale watu ambao kila saa jicho liko kwenye simu kwa mambo ya kipuuzi basi I phone haikufai. I phone sito simu ya kushinda unachat na kuperuzi Instagram na facebook licha ya kwamba inauwezo wa kuaccess huduma hizo.
6. I phone ni Special sababu haifanani na simu nyingine nyingi kama zinavyofanana.
Ni ngumu sana kuielewa I phone kama uliinunua kwa fashion tu au just kutaka kufit in!
Samsung matoleo 20? Unaota mkuu.Mkuu umeongea pumba sana...Unajua kwanini nokia alipotea???? Mambo yepi magumu kwa iphone mzee mnaongea tu hata simu zenyewe hamjawahi kutumia....Samsung anaongoza kwa mauzo kwa sababu anatengeneza simu nyingii kwa wakati mmoja huawei naye ni vivyo hivyo...wanaingiza bidhaa nyingi sokoni mfano mwaka huu Samsung kashatoa zaidi ya matoleo 20 ya simu zake while iPhone katoa matoleo matatu pekeake....iphone 11,,iphone 11pro na iphone 11pro max...sasa huwezi compete na mtu anaetoa simu zaidi ya 20 kwa mwaka mmoja lakini zaidi ni kua hata hayo mauzo hawajatofautiana sanaa ni asilimia chache sana wamepishana....ukija upande wa thamani kwa kampuni Apple ndo wanaongoza kwa kampuni lenye thamani zaidi duniani....Samsung anafuata huawei na wengineo......all in all iphone haiwezi potea kwenye soko mzee acha kuongea ujingaa...nokia alipotea sababu ya mfumo endeshi wake (os) ulikua complicated sanaaa thats why akaanza tumia android os..ungeniambia huawei anaweza potea ndo ningekuelewa kidogo sababu ya kuleta mfumo endeshi ambao hauko familiar na watu .....inakua shida sana watu kuanza kutumia mfumo endeshi mpyaa mzee.....yani ni kama kujifunza matumizi ya simu tenaa...em jaribu kua serious mkuu