Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

Daah! Mbona uzi hautembei.

Hivyo wale ambao mnatumia Iphone mmeshindwa kuja kutuambia huo uspesho angalau na mie nishawishike kumuomba Sesten Zakazaka aninunulie. 😎😎😎
Ni simu tamu sana hiyo lakini cha zaidi yaani uspesho wake ni jina lake kubwa

Kauli yako kwangu ni amri ujue Shadeeya πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜‰
 
Hahahaaa. Hapana bana Ses maana nasikia zinaanzia 1M huko. Sasa si bora kubakia na hii simu yangu ya tochi tu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe hutaki mbwembwe kwani Shadeeya? Ingawa kila mtua na uchizi wake ujue!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Kuna wengine machizi viatu, wengine machizi magari, wengine machizi simu tena aina fulani ya simu kama hivyo iPhone, wengine machizi nguo sasa inategemea kama unachizika na simu kali hata kama haina cha ziada saana
 
Hapana mie sipendi mbwembwe nadhani kwa vile ni age go labda 😜😜. πŸ™ˆπŸ™ˆ

Na uchizi wangu haupo kwenye simu pia Ses.
 
Hapana mie sipendi mbwembwe nadhani kwa vile ni age go labda 😜😜. πŸ™ˆπŸ™ˆ

Na uchizi wangu haupo kwenye simu pia Ses.
Hahahaaa eti wewe age go wakati ndio kwanzaa saa sita na robo πŸ˜› πŸ˜›πŸ˜‰

Hivyo wewe bora mawasiliano eeh Shadeeya? Natamani niujue huo ucizi wako ulipo au utaninong'oneza?πŸ˜ŽπŸ˜‰
 
Hahahaaa eti wewe age go wakati ndio kwanzaa saa sita na robo πŸ˜› πŸ˜›πŸ˜‰

Hahahahaaa. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Hivyo wewe bora mawasiliano eeh Shadeeya?
Hapana sio bora mawasiliano simu iwe ya kueleweka lakini iliyo bei chini sio simu ina bei kama unanunua kiwanja. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Natamani niujue huo ucizi wako ulipo au utaninong'oneza?πŸ˜ŽπŸ˜‰
Ntakwambia Ses. 😎😎
 
Mtaala anaejua cm hawez kutumia iPhone... IPhone inakunyima Uhuru sana hasa kwa wezangu na mm wanaopenda michezo ya kuhack app znazo uzwa na kuzpakua bure
 
Awali nilikuwa sipendi simu za iphone nilikuwa naona kama watumiaji wako limited sana ..nikajaribu kutumia naweza sema iphone ni simu ambayo itamfaa mtu ambaye hana mambo mengi mfano ,download,kushare music on WhatsApp na mambo mengineyo ,ni simu nzuri kwa wapenda privacy pia

Kinacho kwamisha watu wasipende iphone ni kushindwa ku access some apps ambazo zinaitaji payment kama music ,iTunes so unakuta mtu inamuwia vigumu kupata nyimbo kwenye simu ..ku access video kwenye

Iphone ni simu nzuri kama sio mtu wa mambo mengi ..na nzuri zaidi ukiweza lipia some apps
 
Wewe unaota alafu hakuna unachojua kati ya ugomvi wa US na China na Issue za 5G. Kwa kifupi you lack details in Global Issues
 
Karibu 11 ulete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…