Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

Wewe ulipoanza kutumia iPhone kwanza ulitegemea kitu gani ambacho umekikosa?

Huenda ulinunua Iphone kama Pembejeo ya kung’olea Mtoto mkali halafu akakutosa hapo hakuna Application wala chochote kitakachokuvutia kwny Iphone

Sisi Team IPhone huwa tunasema Iphone na simu zingine yaan sijui Samsung, sijui techno, sijui Sony sijui huawei zote tumeziweka kundi moja dhidi ya IPhone
 
Mzee unatembea na milioni nne na ushee i phone x na note 9 pamoja umetisha
bosi acha iphone kama madini. natumia iphone x mass na samsung note 9 ukiweka iphone sikioni watu wanashituka hataka kama mtu anakudai bora usipokee mbele yake,bora upokee samsung hatajua copy
 
Niko na dunduliza visenti mwezi wa saba nijipatie kiapple na mm
Tuache masihara brand ya mUsa huwez kulinganisha na hiz brand za hovyo hovyo
 
Usicheze na apple lililo ng'atwa kuna akili sana ni uwezo tu sina huwezi linganisha na vi Samsung hata iwe noti 12,sijui vi Tecno,itel sijui ifinix
 
Apple labda ninunuliwe, kanateleza sana saa yeyote kanapotea.afu havivutii😝😂

BTW siwezi jinunulia simu zaidi ya laki tatu😀. labda nipewe zawadi.😀napenda😁😁

Da kuna Samsung j7 nilipoteza iliniuma sana nililia kweli😁
 
Hakuna umaalumu wowote hapo.

Nami nilivutiwa na sifa zilizopotiliza zinazopewa hiyo aina ya simu.

Nilipoinunua nikawa na over expectation hadi nilipoiona haifai na kuihonga.

Ilikuwa nikiiweka kwenye chaji inafunguka automatic, inakuwa wazi.

Niliporudi dukani kuulizia dosari hiyo, nikajulishwa kuwa huo ni mfumo wake!

Haya, kwenye network napo, hakuna jipya ni vilevile kama Chinese phones, tena samsung wapo juu zaidi.
 
Wewe huna akili
Trump anapambana na Huawei mambo magumu kwa I phone

I phone bado sana, Nunua huawei P series au Nova series Halafu utajua kwanini marekani anahangaika na Huawei

Mambo magumu kwa i phone bwana mkubwa technologia imemtupa mkono
 
Soma taarifa ya marekani utalewa vita ya biashara inayoendelea
Huwezi fananisha simu za Huawei na I phone kwa sasa

I phone mambo ni magumu yanaweza mkuta ya Nokia, Teknoloji mnamtupa mkono sasa

Mauzo ya I phone ndio yanajifia, 5g technology na Foldable phone marekani anaumia sana, Mwingereza Yeye 5g hana shida, Marekani mambo hoi

Kwaheri i phone tulikupenda kama Nokia enzi hizo
 
wewe huna Iphone unaleta shobo tu
 
Wewe huna akili
Trump anapambana na Huawei mambo magumu kwa I phone

I phone bado sana, Nunua huawei P series au Nova series Halafu utajua kwanini marekani anahangaika na Huawei

Mambo magumu kwa i phone bwana mkubwa technologia imemtupa mkono
Wewe ndio huna akili na hakuna unalolijua kuhusu I phone! Tatizo la marekani na Huawei halina muingiliano na mambo ya I phone na uspecial wake tunaojadili hapa. Go back and learn!
 
Msisahau tayari Huawei ameshatangaza OS yake mpya inayoitwa HongMeng na Huawei AppGallary itakayokuwa mbadala wa Play store
Kuanzia June wanaiachia rasmi

Tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…