Umofia kwenu,
Hizi iPhone zinazoimbwa na kusujudikiwa kwanzia huku mtaani mpaka mitandaoni zina uspesho gani hasa wa kipekee? Mwezi wa tatu sasa huu natumia iPhone 7 sijaona upekee wowote, sana sana naimisi Samsung yangu ambayo nilikuwa naitumia hapo kabla.
Labda wakuu, uspecial wa iPhone ni nini haswa?

Wewe Jamaa una dharau sana.Sisi tunaotumia hatuoni uspesho wowote labda uwaulize hao ambao hawazitumii kazi kutushangaa
Umofia kwenu,
Hizi iPhone zinazoimbwa na kusujudikiwa kwanzia huku mtaani mpaka mitandaoni zina uspesho gani hasa wa kipekee? Mwezi wa tatu sasa huu natumia iPhone 7 sijaona upekee wowote, sana sana naimisi Samsung yangu ambayo nilikuwa naitumia hapo kabla.
Labda wakuu, uspecial wa iPhone ni nini haswa?
hahaha nimecheka kwa nguvuHaina tofauti na forex
Nipe ufafanuzi hapo kwenye namba 5Uspecial wa I phone ni kama ufuatao:-
1. Unaweza kuwa unatumia I phone ya Zamani (Zaidi ya miaka mitano ilopita) kwa OS latest tofauti na Android Phones ambazo kila siku OS inabadilishwa hivyo kufanya simu zinakuwa za kizamani ndani ya kipindi kifupi
2. Uimara na ubora wa simu kama kifaa, huwezi fananisha I phone na Samsung ya aina yoyote ile linapokukwa suala la ubora wa simu kama kifaa
3. I phone ipo kwenye closed eco system hivyo ni ideal kwa watumiaji wasiopenda michanganyiko ya kimatumizi mfano kwenye I phones hakuna sijui mambo ya GB whatsapp sijui app za ajabuajabu na uchafu wake. Kila kitu kimepangiliwa.
4. I phone ni simu ngumu kudukua tofauti na simu za android. Ndio maana I phone hata ukiina ikawa locked sanasana utaishia kuitumia kama spare parts na sio kama simu tena!
5. I phone ni simu ya watu ambao wako organized na mambo yao sio simu ya kuchezeachea, kama wewe ninwale watu ambao kila saa jicho liko kwenye simu kwa mambo ya kipuuzi basi I phone haikufai. I phone sito simu ya kushinda unachat na kuperuzi Instagram na facebook licha ya kwamba inauwezo wa kuaccess huduma hizo.
6. I phone ni Special sababu haifanani na simu nyingine nyingi kama zinavyofanana.
Ni ngumu sana kuielewa I phone kama uliinunua kwa fashion tu au just kutaka kufit in!
iPhone haia RadioUmofia kwenu,