japo sina uzoefu sana katika mahusiano lakini mpaka leo sina jibu ni nini hasa mwanamke anahitaji na unaweza ukafanya killa jambo ambalo ni jema lakini yeye bado akaonekana hajafurahi au unaweza fanya jambo lisilo na maana yeye akafurahia tena sana ni ngumu kuelewa kweli
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana.
Wanawake mnahitaji nini hasa?
Attention na muda .
Labda huyo jamaa yuko busy zaidi na kutafuta pesa kasahau kuwa anatakiwa kuwa na muda wa kuwa na mke wake.
Kwanza mwanamke inabidi akupende kwanza lkn kama hajakupenda hata umpe nini watu watakuchapia kama kawa!
mwanamke anahitaj kila kitu duniani....ILA, kikubwa, anahitaji mwanaume atayemuonesha UANAUME...ni asili ya wanawake kufeel wako chini ya mtu fulani...hata kama ana nin, awe mzuri vp...we muoneshe kuwa ni takataka tu, mkoromee inapobid mkate makofi.....tatizo, umesamehe mengi nawewe...ndo mana anakuona zoba,,,,we unamkuta na mwanaume afu unamsamehe?? umerogwa?