Ni nini hasa cha mno???

Ni nini hasa cha mno???

Naftari Erasto

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
108
Reaction score
50
Wakuu naomba kufahamu ni kipi hasa cha mno kinachosababisha kozi ya clinical medicine kuwa na ushindani mkubwa sana katika uombaji wa naasi za vyuo?
Je ni kweli kwamba ndo kozi bora kuliko kozi zote za afya kama watu tunavyodhani???
Na kwanini vigezo vya kuingia afya vinabana siku hadi Siku? Nimesema vinabana kwa sababu nimeangalia Uzi flan watu wanapeana habari kuhusu kusoma degree kwa wenye diploma za kozi za afya kwamba kigezo ni atleast awe na gpa ya 3.5 then watu wanalalamika mnooo.
Samahani kwa mwenye kujua anipe mwanga maana nimebaki dilema
 
3.5 ndio minimum qualification kwa undergraduates wote wanaotokea diploma.
 
Mnaenda ku deal na afya za watu acheni utani, one mistake, mtu anakufa. Sio accounting au computer ndugu. Acha wabane tu waende wenye wito na akili
 
Mnaenda ku deal na afya za watu acheni utani, one mistake, mtu anakufa. Sio accounting au computer ndugu. Acha wabane tu waende wenye wito na akili
Dhaaa!! Sasa sisi tunaokimbilia kusoma diploma tuna wakati mgumu sana maana kuchomoka kusoma degree ni kukaza mnooo
Mmmh in Ndali name........
 
H
3.5 ndio minimum qualification kwa undergraduates wote wanaotokea diploma.
Hapa kuna uhitaji na ulazima wa watu kukesha tu wakienda vyuo vya afya kuchukua diploma sawa na mwanafunzi aliyepita advance PCB tyuu
 
Wakuu naomba kufahamu ni kipi hasa cha mno kinachosababisha kozi ya clinical medicine kuwa na ushindani mkubwa sana katika uombaji wa naasi za vyuo?
Je ni kweli kwamba ndo kozi bora kuliko kozi zote za afya kama watu tunavyodhani???
Na kwanini vigezo vya kuingia afya vinabana siku hadi Siku? Nimesema vinabana kwa sababu nimeangalia Uzi flan watu wanapeana habari kuhusu kusoma degree kwa wenye diploma za kozi za afya kwamba kigezo ni atleast awe na gpa ya 3.5 then watu wanalalamika mnooo.
Samahani kwa mwenye kujua anipe mwanga maana nimebaki dilema
clinical medicine ni koz mbovu kuliko zote za afya we kasome tu hivo hivo, wala haina ushindani hio
 
clinical medicine ni koz mbovu kuliko zote za afya we kasome tu hivo hivo, wala haina ushindani hio
Asante sana kwa mchango wako. Ukisema haina ushindani nakuwa sikuelewi maana nimejionea yaliyotokea kwenye selection mmmh sitaki hata kusema
 
nifatilie mara wewe ndo ufatilie mana unaambiwa then unabisha kama huna sifa ndo useme ina ushindani

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kupanic nayo veeepeeee??? We we unasema uliisoma na unasema ndo kozi mbovu kuliko kozi zote kumaanisha na we we ni mbovuuuu ama neneeeee????...
 
Clinical medicine ni miongoni mwa kozi bora..mimi nilisoma cotc mtwara now naenda md.ukichaguliwa hiyo kozi jitahidi uende...ni bora na ndo maana inakompitision
 
nenda kasome ndo ujue ubovu wake sio nikwAmbie mie

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo mbovu mzee sio kozi, hiyo kozi wewe utakuwa hujaisoma bali ulikuwa unataka kuichukua badala ya kuisoma mambo ndo yalikugeukia, Kama ungelijipanga usingelikuwa unaiponda hiyo kozi , Itakuwa Clinical Medicine ilikukondesha wewe, Maana wepesi wa kupanic ndo waga inawasumbua.
 
Back
Top Bottom