Matunda safi
Member
- May 30, 2025
- 31
- 61
Ndugu wana JF na watanzania wote mliopo humu poleni na majukumu hasa ya kulijenga Taifa, naomba kuuliza maswali yafuatayo:
1/Je chanzo cha jina Tanganyika ni nini?
2/Je mgunduzi wa kwanza wa jina hili ni nani? Na alitokea nchi gani?
3/Wakati anagundua ilikuwa mwaka gani?
JF ni sehemu bora kwa elimu na maarifa hivo nawasilisha kwa wanahistoria kwaajiri yakuelimika zaidi