Ni nguvu ya UKAWA sio CHADEMA

Ni nguvu ya UKAWA sio CHADEMA

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Ushindi uliongezeka kwa wapinzami kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa ni nguvu ya vyama vinavyouunda UKAWA iliyoongeza imani ya watanzania kwao na sio chama kimoja kimoja.

Ndio maana wataalamu wa mambo tunasema hakuna ushindi wa chadema au cuf au nccr au nld bila UKAWA.
UKAWA ikifa CCM itashinda kwa 99%
10346394_798784620179613_3210816656824995709_n.jpg
10407142_809045465820195_2078707203779953505_n.jpg
 
Mkuu upo sahihi kabisa, hapa wasira na lukuvi wanaumiza vichwa kuisamaratisha kabla ya october, hapa naomba viongozi wa ukawa kujilinda na ndimi zao, kila jambo ni lazima wakubaliane ndio walizungumze
 
Nakubaliana na wewe.Huu sio wakati wa kujisifia bali kujiimarisha kwa pamoja na kutatua kasoro zilizotokea ili kuweka nguvu za pamoja kujiandaa kwa uchaguzi wa 2015
 
Liwalo na liwe tunachotaka ni dawa ya kuliua hili dudu baya...
 
umesema kweli.
Angalizo kwa chadema mkikosea kukumbuka misingi yetu kuwa ni UKAWA mtaharibu.

Movement siyo ya chadema bali ni ya ukawa tumekubaliana kuachiana ndio maana ushindi umekuwa mnono.
Please dont do mistake.

mtirriko wa taarifa unatakiwa ukae hivi

mfano:Matokeo
mgombea wa ccm kura 1
mgombea wa ukawa kupitia cdm/cuf/nccr/nld kura 5000

sasa kurugenzi ya cdm imekomaa kutoa only where cdm perfomed badala ya kutoa kwa pamoja where UKAWA perfomed.

Mie ni mwana mageuzi lakini sijapenda the way watu wanavyolewa na kusahau misingi ya umoja
 
Ni kweli.....umeongea na mganga wako akakuambia UKAWA inakufa lini? UKAWA mbele kwa mbele
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inapendeza kweli! lakini bado na wasiwasi kama Ukawa inaweza kuendelea til 2015. God ilinde ukawa.
 
umesema kweli.
Angalizo kwa chadema mkikosea kukumbuka misingi yetu kuwa ni UKAWA mtaharibu.

Movement siyo ya chadema bali ni ya ukawa tumekubaliana kuachiana ndio maana ushindi umekuwa mnono.
Please dont do mistake.

mtirriko wa taarifa unatakiwa ukae hivi

mfano:Matokeo
mgombea wa ccm kura 1
mgombea wa ukawa kupitia cdm/cuf/nccr/nld kura 5000

sasa kurugenzi ya cdm imekomaa kutoa only where cdm perfomed badala ya kutoa kwa pamoja where UKAWA perfomed.

Mie ni mwana mageuzi lakini sijapenda the way watu wanavyolewa na kusahau misingi ya umoja

chadema wamekuwa wagumu kuujali na kuutanguliza mbele ukawa. kila saa chadema
 
Watu wamechagua UKAWA baana ndani ya UKAWA hakuna udini wala ukanda,, kwetu sisi kama waislam baada ya kuundwa UKAWA tu wengi wakahamia ukawa, unajua waialam wengi hasa wa mjini wengi wao walikua hawana chama na wengine wakiwa CUF, chadema wengi wao walikua wakiamini ni chama cha kanisa.. ndo maana hupenda kusema ''Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu'' sasa Mungu wao wakristu ni YESU waislam uungu wa YESU hatuutambui.. ila ndani ya Ukawa kauli tata kama hizo zimefifia zimebaki kwa wanachadema mahafidhina
 
hahaha! said michael, aisee ni sheedar kweli mkuu!

wakati mwingine tujifunze kukili kama mziki uchezwao kasi yake inapita mazoezi yako ili uwaachie wengine wacheze.

big up!
 
Mkuu upo sahihi kabisa, hapa wasira na lukuvi wanaumiza vichwa kuisamaratisha kabla ya october, hapa naomba viongozi wa ukawa kujilinda na ndimi zao, kila jambo ni lazima wakubaliane ndio walizungumze

Ni elimu yako tosha kabisa tena ya uhakika na safi sana
 
chadema wamekuwa wagumu kuujali na kuutanguliza mbele ukawa. kila saa chadema

Bila kuwaambia ukweli hawa jamaa wataharibu hii kitu!!!
Sidhani kama wako happy sana kusikia UKAWA iko juu ya CHADEMA!!
Ni kweli wamewekeza sana lakini ilipofikia lazima waoneshe wazi kuwa nia yao ilikuwa ni maisha ya wengi na sio political vigilance!!

Ni kipimo chao kikubwa sana na muda ni huu sasa!!
 
Back
Top Bottom