Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,590
- 50,991
Sisi ni kama maji tu utarudiNimeshapoa aise sahivi sitak dem kwanza narudia ukax wangu.
Sisi ni kama maji tu utarudiNimeshapoa aise sahivi sitak dem kwanza narudia ukax wangu.
Hayo ni mengine sasa, kuna wanawake ambao tukiacha haturudi kamweWatoto wa mamkwe wamefeli ila cha ajabu bado mioyo yetu inapendana haipiti week hajanipigia, nimegundua kuna watu wanaoa mademu wa watu au wanaanzisha uhusiano na mademu wa watu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mimi napendwa hadi leo maana tulipendana sana ile love bado inaishi kwenye mioyo yetu.Hayo ni mengine sasa, kuna wanawake ambao tukiacha haturudi kamwe
Nikiwachekea mtanipa ugonjwa wa moyoSisi ni kama maji tu utarudi
Mimi napendwa hadi leo maana tulipendana sana ile love bado inaishi kwenye mioyo yetu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mlale sasa mkue naongea na mtoto wa mamkwe huku mikono ishaanza kulegea saivNikiwachekea mtanipa ugonjwa wa moyo
Mlale sasa mkue naongea na mtoto wa mamkwe huku mikono ishaanza kulegea saiv
Imetumwa? Wengi umelala na wangapi? Good morning 🌞Wanaume wengi hawajui mapenzi ,wanachojua kupampu na kumwaga kimoja chali
Hii mpyaWanawake na wao Huwa wanadhani mwanaume kufika kilele ni lazima
Jamani ni wanaume wachache sana wanaofahamu kilele Chao wengi wanadhani kupisi ndo wamefika la hasha
Kunautamu usioelezeka tangu nianze nishafika mara 3 tu ktk maisha yangu
Wanaume Kwa sababu wengi hawajawahi watapinga
Wanaume wengi hawajui mapenzi ,wanachojua kupampu na kumwaga kimoja chali
Wewe sema una maana yako, Labda kama una tumia kiungo tofauti na tunachokitumia wanaume tutakuelewa.Wanawake na wao Huwa wanadhani mwanaume kufika kilele ni lazima