Ni ngumu sana kuitetea CHADEMA ya sasa dhidi ya ufisadi!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,394
4,748
Hakuna mwanachedama anayeweza kusimama kidedea na kuupinga ufisadi huku akijipiga kifua kwa kuwa tu chadema ilijitosa kumitetea icon ya ufisadi.

Tunapoelekea ni kugumu zaidi kwani CAG atagundua madudu ya kifisadi kwenye halmashauri zilizo chini ya Chadema...
 
Kwani umeombwa kuitetea CHADEMA?? Na unaitetea kwa nani na kwa kesi ipi?? Kwani chama chenu hakihitaji kutetewa?? Kaitetee ACT we gonoreah
 
Hakuna mwanachedama anayeweza kusimama kidedea na kuupinga ufisadi huku akijipiga kifua kwa kuwa tu chadema ilijitosa kumitetea icon ya ufisadi.

Tunapoelekea ni kugumu zaidi kwani CAG atagundua madudu ya kifisadi kwenye halmashauri zilizo chini ya Chadema...

Ramli.....!

Tukiambiwa tuna asilimia 93 ya kutuwezesha kuwa vinara wa miujiza na Ramli duniani tunaghafilika.
 
Hakuna mwanachedama anayeweza kusimama kidedea na kuupinga ufisadi huku akijipiga kifua kwa kuwa tu chadema ilijitosa kumitetea icon ya ufisadi.

Tunapoelekea ni kugumu zaidi kwani CAG atagundua madudu ya kifisadi kwenye halmashauri zilizo chini ya Chadema...
Hapa ndio Mwisho wa kuwaza kwako ?
 
Kwasasa chadema wanatumia akiba ya heshima alioacha Dr.Slaa....muda si muda itabaki mifupa mitupu.
 
Hakuna mwanachedama anayeweza kusimama kidedea na kuupinga ufisadi huku akijipiga kifua kwa kuwa tu chadema ilijitosa kumitetea icon ya ufisadi.

Tunapoelekea ni kugumu zaidi kwani CAG atagundua madudu ya kifisadi kwenye halmashauri zilizo chini ya Chadema...
Mkuu umekuwa mbashiri au mtabiri?umejuaje Kama CAG atagundua madudu?
 
Hakuna mwanachedama anayeweza kusimama kidedea na kuupinga ufisadi huku akijipiga kifua kwa kuwa tu chadema ilijitosa kumitetea icon ya ufisadi.

Tunapoelekea ni kugumu zaidi kwani CAG atagundua madudu ya kifisadi kwenye halmashauri zilizo chini ya Chadema...
Aanze kwanza kuikagua ile familia ya Msoga/ESCROW yenye utajiri wa kutupwa kuanzia baba mpaka watoto wooote wakiongozwa na Rizimoja.

Baada ya hapo aje kwa yule mzee kipara mwenye matusi na dharau kwa watanzania masikini.

Kisha amalizie kwa mwenyekiti wa bunge Chege na wengineo.

Namwombea Mungu Dr. Magu apate ujasiri wa kuwatumbua hao watu kwanza.
 
Kina Kangi Lugola,Ndaa,Kitwanga na wabunge wengine 18 ni wa Upinzani? Umechelewa sana, Sasa habari ya mjini ni UKAWA, Chadema kilizungumiwa chenyewe kabla ya muungano na vyama vingine. Subiri bunge lianzae ccm mtasambaratika.Ufisadi ni desturi ya ccm na sio ukawa.
 
Ugonjwa wa uti wa mgongo ni hatari sana kwa afya ya ubongo pia
 
Aanze kwanza kuikagua ile familia ya Msoga/ESCROW yenye utajiri wa kutupwa kuanzia baba mpaka watoto wooote wakiongozwa na Rizimoja.

Baada ya hapo aje kwa yule mzee kipara mwenye matusi na dharau kwa watanzania masikini.

Kisha amalizie kwa mwenyekiti wa bunge Chege na wengineo.

Namwombea Mungu Dr. Magu apate ujasiri wa kuwatumbua hao watu kwanza.
Alafu hawana hata aibu wanaongea mbele za watu eti hawajui ni kwa nini watanzania ni masikini wakati huo umasikini wanausababisha wao kwa kuiba rasilimali za watanzania
 
Kina Kangi Lugola,Ndaa,Kitwanga na wabunge wengine 18 ni wa Upinzani? Umechelewa sana, Sasa habari ya mjini ni UKAWA, Chadema kilizungumiwa chenyewe kabla ya muungano na vyama vingine. Subiri bunge lianzae ccm mtasambaratika.Ufisadi ni desturi ya ccm na sio ukawa.
Ma ccm damu zao zimejaa wizi
 
Mchezo Wa kuigiza,CAG agundue madudu Leo?
Ilipokuwa ccm Madudu ya hati chafu kwa mujibu Wa CAG 2000-2015 yalikuwa ya chadema?

Huenda umepatwa na stroke mwandishi,umepata tatizo LA autism au amnesia!!
 
sisi hatutaki kumtetea mtu etu kwa kuwa ni chadema, ccm, Mkristo, mwiislamu, kabila langu HAPANA! mwizi ni mwizi popote alipo ni kumwanika tu kwani ndie ADUI NO. 1 WA MAENDELEO YETU.
 
Mchezo Wa kuigiza,CAG agundue madudu Leo?
Ilipokuwa ccm Madudu ya hati chafu kwa mujibu Wa CAG 2000-2015 yalikuwa ya chadema?

Huenda umepatwa na stroke mwandishi,umepata tatizo LA autism au amnesia!!
Cc:stroke
 
Back
Top Bottom