Daughterrr
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 459
- 531
Ni
Sio wote mtawashika huyu ni mgeni mwenyejiTafadhali tuma picha yako
Na namba yako
Hivi sasa upate msaada zaidi
Tuma hapa hapa
Mafundi wetu wakuconnect vizuri
Karibu mgeni wetu
nashukuru...picha mh utanisamehe.Tafadhali tuma picha yako
Na namba yako
Hivi sasa upate msaada zaidi
Tuma hapa hapa
Mafundi wetu wakuconnect vizuri
Karibu mgeni wetu
umemjibu vzur sana.Sio wote mtawashika huyu ni mgeni mwenyeji
hahaha avator yako kama umeoga podaSio wote mtawashika huyu ni mgeni mwenyeji
Pole sana, mafundi wetu wanalishugulikia hili.Nimekua nikitumia jf mwaka wa pili sasa lakini kila nikipokua nikijaribu kujiunga nkikua nakataliwa eti naambiwa oops! we have got in to some problems please try again later..sasa leo nikasema sikubali nikaangaika weeee kujiregister bado nikafeli mbaka nilipopata wazo la kuingia google ndo nikafanikiwa kuregister kupitia uko.
sasa naomba mniambie japo nshajiunga jf ila nataman kujua nilichokua nakosea nnn maana daah sio kwa kutumia jf miaka 2 nikiwa member hewa..mada zingine zinakua hot ila kuchangia sikuweza.
asantePole sana, mafundi wetu wanalishugulikia hili.
wananiita maxence mello a.k.a kipepe
Sio wote mtawashika huyu ni mgeni mwenyeji
Si unajua vile najazaga mapoudaaaahahaha avator yako kama umeoga poda
Si unajua vile najazaga mapoudaaaa
Oooh poor you
Oooh poor you
Unatapatapa sana, kwa tabia hizi hata pesa utakua huna ww, punguza ku+rwaChoko ww.