Ni Ngassa na Kaseja tuuu!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Ikiwa hata watanzania wenyewe hatujui wala hatutaki kujishighulisha kujua wachezaji wazuri katika medani za soka la Bongo, zaidi ya Ngassa na Kaseja kuna kitu kweli hapo??!!!

Last edited by a moderator:
Huyu Hasheem naye misifa tu unataka kusema katika soka la Tanzania anamfahamu Ngassa na Kaseja tu peke yake? Si uongo huu?
 
huyu hasheem naye misifa tu unataka kusema katika soka la tanzania anamfahamu ngassa na kaseja tu peke yake? Si uongo huu?

bwana eeee, mastaa hao bana wa sinza!

Labda kwenye muziki atakuwa anamfahamu t.i.d na lady jd, na habari ni mhudini michuzi na safu za viongozi wa nchi hii ni jakaya tu!!. Kwa upande wa vyuo nadhan itakuwa ni ifm tu....
kumbi za starehe ni BILLZ kama hajataja na hapo Diamond JUbileee (!!!)
 
Ikiwa hata watanzania wenyewe hatujui wala hatutaki kujishighulisha kujua wachezaji wazuri katika medani za soka la Bongo, zaidi ya Ngassa na Kaseja kuna kitu kweli hapo??!!!

Wrong

That is fairly wrong
 
Last edited by a moderator:
bwana eeee, mastaa hao bana wa sinza!

Labda kwenye muziki atakuwa anamfahamu t.i.d na lady jd, na habari ni mhudini michuzi na safu za viongozi wa nchi hii ni jakaya tu!!. Kwa upande wa vyuo nadhan itakuwa ni ifm tu....
kumbi za starehe ni BILLZ kama hajataja na hapo Diamond JUbileee (!!!)

Yap kaka hawa watu ni vituko tu, mimi huwa ananichekesha lafudhi yake ya kiswahili kilichojaa umarekani watu baaana, watu wameishi huku ughaibuni toka miaka hiyo na leo ukiwaambia wapige Kinyakyusa kama kawa wanatwanga na lafudhi yake sembuse na huyu aliyeenda juzi tu hapa wanatia kichefu chefu tu
 
Back
Top Bottom