Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Wana jamvi.
Zipo ndoa za aina nyingi ila commonly ni,
1. Ndoa za kikristo
Hapa mtu mume huoa mke mmoja tu kisheria na mlango hufungwa kwa wanandoa kufaidiana peke yao. Hapa kama hukuwahi kuutumia ujana, jua ukioa hakuna mlango wa kutokea kwenda kula mabolibo ya jirani zako.
2. Ndoa za kiislam
Hapa mtu mume huoa wake kati ya mmoja mpaka wanne. Hapa mwanaume unashauriwa kuchagua vizuri, mf modal, mwenye ma.kalio makubwa na mvuto wa sura, mweupe namba 8 n.k. Chagua vzr ukikosea ukishafunga ndoa hakuna ruksa kuonja mchuzi wa mama Chaudele
3. Ndoa za kimila/kiserikali
Hapa pia inategemeana na jamii husika. Nyingine huruhusu mke mmoja au zaidi. Ila kuna taratibu zake, japo kuna wanaokuwa na wake mpaka 8. Ukifunga kiserikali anatambuliwa mmoja tu.
Sasa tujadili, NI NDOA IPI INAONGOZA KWA KUCHEPUKA? kwa nini na nini kifanyike kuzuia mbuzi kula mahindi ya jirani?