Ni ndege ipi uipendayo zaidi?

Huyo hapo

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 
Kwani ndege ipi inayokupenda hapo?
 
Kitu Dreamliner. Sijui hii yetu ila nimepanda za Ethiopia na KLM ile adjustment ya viti na kuegesha miguu vizuri inakufanya unajisikia comfortable. pia imetengenezwa kuondoa flight fatigue. Mwisho wa safari husikii uchovu wowote
Kwa sisi wapenda nyama choma ya mbuzi Dreamliner ndio chaguo maana mwisho wa safari chakula cha kwetu tele.
 
Dah, kuna watu wanateseka sana 😀😀 hadi kutaja ndege unayoipenda nako kuna upinzani😳😀😀.
Mi naipenda Dreamliner maana nimeonja raha yake, hizo nyingine bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…