Ni nani yuko nyuma yao?

Mkuu usijidanganye kama waliwezekana WaLibya na good life yao wanashindwaje nchi zetu hizi za pangu pakavu ni jambo la kumuomba Allah anusuru tu wasituletee hayo Mapropaganda
Kule walikopelekewa hawajui kumuomba Allah?
 
Hivi kama mpaka nyinyi mumewafahamu unaona Serikali itawaachia tu? Wacheni kuzushia watu jamani.
 
Kule walikopelekewa hawajui kumuomba Allah?
Muumba hupeleka madhara sehemu aitakayo na huiondoa kwa waumini wake wakithirishapo kumuomba kwa hiyo jibu la swali lako mwenye enzi mungu ndio anajua kwa nini wamepelekewa propaganda
 
Mkuu usijidanganye kama waliwezekana WaLibya na good life yao wanashindwaje nchi zetu hizi za pangu pakavu ni jambo la kumuomba Allah anusuru tu wasituletee hayo Mapropaganda
Umenena vyema Mkuu🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…