Ni nani wa kulaumiwa?

Ni nani wa kulaumiwa?

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
900
Reaction score
617
Kutokana na hali ya maandamano ya Leo na machafuko yanayoendelea nchini ni dhahiri serikali na jopo lao lote ambao waliamua kutumia nguvu ,utekaji,ukiukwaji wa haki za binadamu,kufunga upatikanaji wa taarifa wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kitaifa na kimataifa. Kesi ifunguliwe mahakama ya kimataifa( The hague) dhidhi ya Samia Suluhu Hasan.
Aluta continua!
 
Wanafiki eti wao ndio wanalalamikiwa, wao ndio wanataka wakae meza kuu kutusuluhisha badala ya wao kuwa jela.
 
Na uzuri au ubaya, haya maandamano hayana kiongozi... Ni vema Serikali haraka sana imuombe Mange Kimambi awarudishe watu wake kambini... wafungue internet ili Mange aongee na watu wake...

Halafu siku nyingine watu wa serikali waache kidomo domo cha kuwafungulia waytu makesi na kuwaonea bila sababu za msingi... nchi ni yetu sote na tuijenge sote... udicteta wa kuongioza nchi usiwe kwa ccm pekee...
 
Kutokana na hali ya maandamano ya Leo na machafuko yanayoendelea nchini ni dhahiri serikali na jopo lao lote ambao waliamua kutumia nguvu ,utekaji,ukiukwaji wa haki za binadamu,kufunga upatikanaji wa taarifa wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kitaifa na kimataifa. Kesi ifunguliwe mahakama ya kimataifa( The hague) dhidhi ya Samia Suluhu Hasan.
Aluta continua!
Naipata jf BILA vpn
 
Na ccm na serikali Yao ndio waliokuwa wanasema upinzani ndio wataleta vurugu nchini. Ona Sasa!
 
ALiyeplan kuwashikilia viongozi wa chadema akili kubwa sana. Leo chadema haina lawama zozote zile.

Watawala wanatakiwa waanze kujifunza sasa umuhimu wa siasa safi na kuheshimu utu.
 
Back
Top Bottom