Ni nani mtu wa kwanza kusema hallo katika simu?

Ni nani mtu wa kwanza kusema hallo katika simu?

1c8d2c6f5694744ab4521b1f0392c08e.jpg


JE WAJUA?

Mtu wa kwanza kugundua simu aliitwa Alexander Graham Bell mwaka 1876. Huyu jamaa alikuwa na mpenzi wake aitwaye Mabel Margaret Hello ambaye alimuoa mwaka 1877. Kipindi cha nyuma alipokuwa akimpigia simu mpenzi wake, kitu cha kwanza kabisa alichokuwa akikifanya ni kumuita jina lake ‘Hello’ halafu mpenzi wake anaitikia.

Linakuwa si jambo kubwa kumsahau aliyegundua simu, ila afadhali kidogo unaweza kumkumbuka mpenzi wake na kumuita kila unapopigiwa au unapopiga simu.
 
Ila ukituliza akili na ukatafakari utaweza kupata logic katika swali lake, tatizo watanzania tumejijengea utamaduni wa kuto kudadadisi mambo na yule anaye dadisi hasa mambo ambayo tunayaona ni ya kawaida anaonekana mwehu wakati huyo ndie mwenye timamu zaidi,
Kumbuka wazungu walidadisi kwanini jiwe likirushwa juu linarudi chini na ndio chanzo cha theory ya gravitation force ambayo pia inatumika kutengeneza ndege kama za kina fastjet ingawa kwa watanzania huyo angeonekana mwehu wa mwisho coz tunadhan jiwe kurud chini ni lazima
Kila la heri!

Umemjibu vizuri sana, kama yuko vizuri upstairs atajua hicho ulichokieleza. Watu wanapenda kuponda mawazo ya watu wengine kumbe hawajui wanajionyesha ni kiasi gani hawawezi kufikirisha ubongo. Kufikiri na kudadisi ndiko kunaleta mawazo mapya na ugunduzi.
 
Back
Top Bottom