Ni nani mmiliki wa intaneti?

TELLO

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
234
409
Nimekua nikiwaza sana nani hasa anaemiliki mtandao wa INTANETI make mitandao ya simu sijuwi wananunua kwa nani access za hizi INTANETI
 
Kaka wewe pia ni mmiliki wa intaneti kupitia icho kifaa unachotumia kuingia humu jf. Internet ni interconnected networks ambapo wewe pia huko kwenye hizo networks.
Internet service providers ndiyo wanao tucharge hizi gharama unazozijua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom