Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 146
Wiki ijayo naenda zangu KILWA KIPATIMO, nitafanya udadisi, nitaweka habari kamili humu...................
Lakini nadhani hii post imepotea njia, ilitakiwa ipelekwe kule kwenye jukwa la HISTORIA..
MODS TAFADHALI...
Kisa hicho hata ukiwa Bwagamoyo utakisikia mimi nilisikia akiitwa Unju bin Unuku.
Tupe vituko vyke basi kama mlivyosikia nyie.
Hadithi kama hizi zilikuwa na maana kuu moja, mara nyingi walikuwa wakihadithiwa watoto wadogo na kuwafanya kuwa na hofu ya Mungu. Watoto walikuwa wakiendelea kukua wanajiuliza kama kulikuwa na majitu ya kutisha hivi na Mungu ni mkuu kuliko haya majitu basi Mungu ni wa kuugopewa zaidi.
Siku hizi hadithi hizi hatukuwasimulia watoto wetu na ndio maana watoto wetu wamekosa maadili, wanaapizana hovyo hovyo, wanafanya mambo ambayo hata sisi wazazi wao tunawashangaa. Mwisho wa siku wa kulaumiwa ni sisi tulioshindwa kuwapasia hadithi hizi watoto wetu na dhambi zao tutazibeba sisi wazazi.
Mh!Sisi majitu...wao vampares....inatisha..:A S-confused1:
Nimecheka vibaya sana huku ila nyie mnatembea mchana na usiku wa ni usiku tu na kunywa damu wacha kabisa
Hadithi kama hizi zilikuwa na maana kuu moja, mara nyingi walikuwa wakihadithiwa watoto wadogo na kuwafanya kuwa na hofu ya Mungu. Watoto walikuwa wakiendelea kukua wanajiuliza kama kulikuwa na majitu ya kutisha hivi na Mungu ni mkuu kuliko haya majitu basi Mungu ni wa kuugopewa zaidi.
Siku hizi hadithi hizi hatukuwasimulia watoto wetu na ndio maana watoto wetu wamekosa maadili, wanaapizana hovyo hovyo, wanafanya mambo ambayo hata sisi wazazi wao tunawashangaa. Mwisho wa siku wa kulaumiwa ni sisi tulioshindwa kuwapasia hadithi hizi watoto wetu na dhambi zao tutazibeba sisi wazazi.
Da nami nimemsikia kwa jina la Unzi Bin Ununuk, na hiyo stori nilishaipata sema nilisikia alizama baharini pande za Kilwa.