Ni nani huwa anawaandikia hawa waheshimiwa taarifa zao mitandaoni kwa kiingereza?

Kama umeitoa Wikipedia au mitandao mingine kama hiyo, ni sawa tu kukuta makosa, maana hiyo sio mitandao ya taarifa rasmi au official. Ni mtu tu anaamua kuandika, hata wewe ukiamua kufanya editing hapo itakubali
 
Back
Top Bottom