lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Sep 19, 2012 #1 wakuu, naomba mnisaidie kuwajua hawa na ni wapi walikuwa na kwa ajili ya nini?
K Kalikali Member Joined Oct 7, 2008 Posts 20 Reaction score 4 Sep 19, 2012 #2 Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 Sep 19, 2012 #3 Kalikali said: Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa... Click to expand... Hapo kwenye bold sijakusoma. Huo uheshimiwa unatokana na nini? Kulala bungeni?
Kalikali said: Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa... Click to expand... Hapo kwenye bold sijakusoma. Huo uheshimiwa unatokana na nini? Kulala bungeni?
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Sep 19, 2012 #4 the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,995 Reaction score 8,273 Sep 19, 2012 #5 sabasita said: the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride Click to expand... Khaaaaaaaaa!!!!!!!!!
sabasita said: the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride Click to expand... Khaaaaaaaaa!!!!!!!!!
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Sep 19, 2012 #6 Dr. Wansegamila said: Khaaaaaaaaa!!!!!!!!! Click to expand... hehehehehe habari ndo hiyo...na lazima tutalazimisha sura yake iwekwe kwenye bank notes, chezeaaaa
Dr. Wansegamila said: Khaaaaaaaaa!!!!!!!!! Click to expand... hehehehehe habari ndo hiyo...na lazima tutalazimisha sura yake iwekwe kwenye bank notes, chezeaaaa
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,995 Reaction score 8,273 Sep 19, 2012 #7 sabasita said: hehehehehe habari ndo hiyo...na lazima tutalazimisha sura yake iwekwe kwenye bank notes, chezeaaaa Click to expand... Wewe na nani mkuu??
sabasita said: hehehehehe habari ndo hiyo...na lazima tutalazimisha sura yake iwekwe kwenye bank notes, chezeaaaa Click to expand... Wewe na nani mkuu??
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,079 Reaction score 69,500 Sep 19, 2012 #8 Ndiyo maana mtu anapoanguka kwenye kura za maoni anapata stroke.Uheshiwa mzuri unapata heshima ya marehemu:A S thumbs_up::behindsofa::whoo:
Ndiyo maana mtu anapoanguka kwenye kura za maoni anapata stroke.Uheshiwa mzuri unapata heshima ya marehemu:A S thumbs_up::behindsofa::whoo:
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Sep 19, 2012 #9 Dr. Wansegamila said: Wewe na nani mkuu?? Click to expand... raia mwema wa Inji hiii
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Sep 20, 2012 #10 kwa kujua kwamba hana chochote wamemuwkea gwaride la watoto na kwa upofu wake anajiona bonge la mtu.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,550 Reaction score 21,676 Sep 20, 2012 #11 Mbona kama ni waterfront zamani ikiitwa NASACO?
N NnyaMbwate JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,678 Reaction score 1,204 Sep 20, 2012 #12 Never give up said: Mbona kama ni waterfront zamani ikiitwa NASACO? Click to expand... Kweli Mkuu, hapo ni NSSF Water Front! Sasa kujua ilikuwa ligwaride la nini, wenye kujua watujuze!
Never give up said: Mbona kama ni waterfront zamani ikiitwa NASACO? Click to expand... Kweli Mkuu, hapo ni NSSF Water Front! Sasa kujua ilikuwa ligwaride la nini, wenye kujua watujuze!
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Sep 20, 2012 Thread starter #13 Kalikali said: Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa... Click to expand... naye kwani yupo na akina Zitto kwenye hizo mbio za kuelekea Chamwino (serikali inahamia Dodoma)? Na je ilikuwa ni tukio la nini hasa?
Kalikali said: Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa... Click to expand... naye kwani yupo na akina Zitto kwenye hizo mbio za kuelekea Chamwino (serikali inahamia Dodoma)? Na je ilikuwa ni tukio la nini hasa?