Ni nani hasa aliyeharibu elimu ya Tanzania?

sima salva official

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
210
89
Hivi nipende kuuliza aliyeharibu elimu ya msingi tanzania ni mawaziri ambao wanawekwa madarakani au maana kama bado watoto wa darasa la saba wanachagua mpaka hesabu hivi kizazi kijacho kutakuwa na wajuvi wa hesabu kweli?
 
Hiyo inatusaidia kupunguza gharama za usahihishaji na pia mwanafunzi hawezi kufaulu bila kukokotoa haiwezekani ,tumelifanyia utafiti wa kutosha.
 
Hiyo inatusaidia kupunguza gharama za usahihishaji na pia mwanafunzi hawezi kufaulu bila kukokotoa haiwezekani ,tumelifanyia utafiti wa kutosha.
unajua kuna wanafunzi ni watalaam wa kubahatisha ukizingatia hesab wengi hawaipendi
 
Back
Top Bottom