Na Wako Uko Wapi ?Ngoja nisubiri michango ya watu
Na Wako Uko Wapi ?Ngoja nisubiri michango ya watu
Naona umeshaingiziwa buku 7 zako kwani nani amezungumzia kuhusu awamu.Hakuna yoyote
Awamu hii ni moto moto
Hapa kazi tu inatufunza mengi na tunajifunza kufata sheria etc
Atachaguliwa tena kama kawa 2020 kuendelea na uraisi.
Wengi wanapenda anayofanya.. ndio ilivyo hakuna jinsi.. lia tu