MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
-
- #141
Lowassa ana uwezo mkubwa kifikra wa namna ya kuwa fisadi papa lakini hana uwezo kifikra wa namna ya kuwa Rais wa Tanzania.Lowasa pesa zake ndo zinamdanganya mengine yoote ni hadithi kama angekua hana pesa hakuna ambae anagehangaika nae!!
We na bosi wako membe mngefanya juhudi za kuing'arisha CCM NA ACTDunia inatambua Lowassa ana utajiri wa kifikra kuhusu njia ya kuwa fisadi nchini Tanzania. Kinachoendelea kwa sasa kinadhihirisha Lowassa anahitaji huruma za kisiasa kutokana na mwenendo wake kisiasa. Anahitaji sana ushauri usio wa kinafiki kuhusu hatima yake kisiasa nchini.
Nilivyomsikia kwa mara ya kwanza akitoa madai kuwa ukimya wake baada ya Uchaguzi Mkuu umesababisha kuwepo amani nchini, nilidhani kinachomsumbua ni mihemko ya kisiasa.
Nilipomsikia pia kwa mara ya pili akitamka maneno hayo Mkoani Arusha wakati akishiriki katika kampeni za Uchaguzi wa Jimbo la Arusha ambao uliahirishwa katika siku ya Uchaguzi Mkuu baada ya kifo cha mgombea wa ACT-wazalendo Estomih Mallah sikushangaa sana.
Kilichonishangaza zaidi ni pale nilipomuona tena kwa mara ya tatu ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Monduli akisema kunyamaza kwake baada ya wananchi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kumewafanya wananchi wasiuane. Eti anadai wananchi walikuwa wanasubiri neno lake ili waingie barabarani na kuanza kuuana.
Lowassa anataka kutuambia watanzania wengi ni kama nyumbu kwamba kila atakalolisema watalifuata au kulitenda. Anataka kutuambia watanzania wengi wanafanya mambo yao kwa kutegemea kauli zake. Anadhani yale aliyokuwa anayaita mahaba kwenye mikutano yake ni unyumbu.
Hawa watu wanaomshauri Lowassa waache kumdanganya. Kuna baadhi ya watu wanamjaza ujinga ili adhani ana hekima na busara zaidi ya Watanzania wengi.
Lowassa na wapambe wake hawafahamu kama watanzania wengi wana haiba ya kutopenda vurugu. Hafahamu kama kuna chaguzi kuu nne zimefanyika na Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani na kuheshimiana. Hafahamu utawala wa machifu uliokuwa na nguvu kubwa (powerful influence)katika jamii nchini ulipigwa marufuku na Tanzania ikaendelea kuwa na amani na kuheshimiana. Hafahamu tuna makabila zaidi ya 120 yenye imani za kidini tofauti lakini yanaishi katika msingi wa kuheshimiana na undugu.
Lowassa anataka kutufanya wajinga kama hatufahamu kuwa kitendo cha kuita waandishi wa habari na kujitangaza mshindi wa Urais halafu akaitaka NEC imtangaze ilikuwa ni dhamira ya ku-instigate violent lakini wananchi wengi walimpuuza.
Lowassa na wapambe wake wangetafuta kwanza uzoefu kuhusu haiba ya Watanzania kutoka wapinzani ambao wamekuwa katika uwanja wa upinzani kabla yeye hajawaza/kufikiria kama kuna siku atakuja kuwa mpinzani wa serikali ya CCM.
Kinachoonekana kwa sasa Lowassa yuko katika safari ya kisiasa ambayo Augustino Mrema amepitia! Lowassa has gone from hero to zero! As a politician, he is finished. There is no way back for him.
Ni nani anamshauri Edward Lowassa? Mwacheni akachunge ng'ombe wake Monduli!
Huyu mbugila anajiona ana akili sanaBadala ujenge chama chako cha ACT unadhani una ubavu wa kupambana na Lowasa!
Wewe utabaki kudanganya wajinga wenzio kama kina Machemli na matokeo yake wanaishia kupata kura 1820...
Thanksumenena vyema
Kina binadamu ana nafasi yake katika maisha na taifa.Nadhani ifike mahali mtu ujipambanue mwenyewe umeachieve nini au umeacha legacy gani kwenye hii nchi kabla ya kumponda mtu kama Lowassa. Hata wale waliokua wanaongea vibaya juu yake ni kutokana na uchaguzi..pamoja na hayo yote walikua makini sana katika maneno yao
wengi ni wanasiasa mashuhuri nchini
leo hii anakurupuka mtu hajui hata kesho yake na elimu yake ya brn...Lowassa,lowassa...uchaguzi umeisha EL atabaki kua mtu mwenye influence kubwa sana nchini.(Hata ukipinga ukweli wa namba utakusuta,moyoni unaelewa) hivyo anasikilizwa na watu wengi na bado hekima zake zinahitajika.Tujenge nchi acheni uoga.
CDM bhana akisemwa Lowassa wao mashambulizi wanahamishia kwa zittoHuyu mbugila anajiona ana akili sana
Km yeye ana akili mbona hatujawahi kusoma vitabu vyake au avumbue kitu kipya
Zitto anapenda kujikweza
Mjivuni CHIKU ABWAO alimshauri eti atamshinda msigwa pale iringa
Kilichotokea ni aibu kwa zitto na pesa za gaddafi mlizokula hazijazaa matunda
Zitto amekua mnafiki anatafuna maneno yake
Alisema hawatokua sehemu ya ukawa ila watashirikiana kuhakikisha CCM inatoka madarakani lakin mwisho wa siku ACT WAKAWEKA MGOMBEA na hiyo ni baada ya kupewa pesa na membe.
Shukuruni katiba inayotumika ni ya 1977
Kwani wewe ukiwa unapumuliwa kisogoni huwa unaongea kama ninavyoongea?wewe kenge maji usiongee kama unapumuliwa kisogoni!
Una maana gani?Kuna hatari ya filosofa kwisha Tanzania na kubaki na green guard tu
Nadhani huu ushauri ungeanzia kwanza kwa Edward Lowassa ambaye kwa sasa kila anapokutana na kundi la Watu anaanza kudai amani iliyokuwepo baada ya uchaguzi mkuu imetokana na yeye kukaa kimya baada ya uchaguzi.
Nadhani huu ushauri ungeanzia kwanza kwa Edward Lowassa ambaye kwa sasa kila anapokutana na kundi la Watu anaanza kudai amani iliyokuwepo baada ya uchaguzi mkuu imetokana na yeye kukaa kimya baada ya uchaguzi.
Tuuane kwa sababu gani?Kwahiyo ulitaka tuuane au?
Gwajima ni mpiga dili.Hadi Yuda Gwajima amemkana !!
Ukweli ni kwamba endapo Lowassa angekuwa hana busara wala hekima, na kuamua kuwashawishi watanzania zaidi ya MIL 6 waingie barabarani, leo hii nchi nzima ingekuwa eneo la makaburi.Mpuuzi ni yule anayedhani amani ya Tanzania alikuwa ameishikilia kwenye mdomo wake!
Mpuuzi ni yule anayedhani Watanzania wengi ni kama manyumbu!