Kuna vigezo vimewekwa hapo ila nashangaa still kuna mtu kama
1. Lizaboni-huyu jamaa makala zake nyingi ni kuhusu siasa sawa ila anakosa kigezo kwakuwa ana kasumba ya kuwa upande mmoja wa chama cha mapinduzi hivo kwa upande wangu naona hakustahili labda kama hicho kigezo kisingekuwepo
2. FaizaFoxy huyu kweli amejitahidi huu mwaka kwenye kuandika na kuchangia vitu vingi humu sikatai ila kama kusingekuwa na kigezo cha udini basi alistahil kuwepo kwenye hiyo list, tatizo lake huyu mama ni mdini kupita kiasi na pia ana roho mbaya sana kwa Christian utazani kazaliwa ukoo mmoja na mtume
Huwa nashindwa kuelewa hawa watu makini kama FaizaFoxy huwa wanashindwa vipi kuelewa kuwa dini uliyonayo sasa ni outcome tu ya ukoo wako kupatikana maeneo ambayo waarabu walifika kwa wingi wakati wa biashara zao na kufanya watu wa eneo husika kuadapt imani yao, ni sawa na kule kaskazini walivyojazana Christian kwakuwa tu ilikuwa ndio ngome ya roman wakati ule
Naona ni roho mbaya tu ndo aliyonayo FaizaFoxy maana sitaki kuamini kwa mtu ambaye yuko na knowledge ya mambo mengi alafu akashindwa kudeal na issue kama ya imani, ndo kusema kwamba ye hajui kwann leo ni Muslim na sio Christian
Pia sijui vimetumika vigezo gani katika kuchagua hao watu maana kumuacha mtu kama The bold teyari kunaonesha kuna mapungufu katika kupatikana washindani wetu, kura yangu iende kwa mshana jr