Mhaini
Member
- Apr 8, 2024
- 63
- 84
Hapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu!
Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya.
Halafu Polisi wanafuatilia watu wanaoandika Mitandaoni na kudaia Serikali ina Mkono mrefu, halafu wanashindwa kukamata mtu anayemtishia Kamishina wa kupambana na Dawa za Kulevya.
Aretas Lyimo, Kamishna Jenerali DCEA, amelalalamikkia kutishiwa maisha. Ofisi ya kupambana na dawa za kukevya ipo Mita mia moja 100) kutoka Ikulu ya Dar es Salaam ilipo.
Lymo amelia sana na kulalamika na kuomba Gazeti la Mwananchi wahikikishe Taarifa hiyo inachapishwa ili waanganyika wajue.
"Matishio yanakuja, watu wanatishia. Unaweza kutumiwa message (ujumbe mfupi wa maandishi) hapohapo, ukiitafuta ile simu kwenye mtandao Ile simu kwenye mtandao haipo. Anakwambia hili jambo usipoliacha, labda mwezi fulani haufiki, tutakuwa tumekuua. Au mtu anakwambia hakikisha hili jambo unaachana nalo." Kalalamika Kamishina Aretas Lymo
Je, nani anamtisha Kamishina kiasi kwamba Polisi wanasema namba hawaipati? Kwamba laini inatupwa na simu inatupwa? Simu imepigwa kutoka IMEI namba ipi?