Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,661
ITV inakiki kwa lipi!?Africa Media Group. Ndo wamiliki wa magic fm, channel ten, DTV, CTN, C2C. Alafu hii tv ilianza na ITV enzi hizo nlitegemea ingeendelea kukiki kama ITV ila imekuwa tofauti. kwanza warekebishe colour yao ikiwezekana wahamie HD kabisa. then warekebishe contents zao maana kila nikitune nakutana na kipindi cha dini.
ITV inakiki kwa lipi!?
unaweza kukaa na kuangalia ITV zaid ya taarifa ya habari ambayo nayo sasa inafifia!!?..huduma ya kwanza na Mathew mkanyemka IPO vilevile tangu sina mtoto had Leo anaanza form onehabari, malumbano ya hoja, maigizo, Tamthilia, watoto wetu, mashindano kama bongo star search, dume challenge, Jackpot Bingo yamekikisha sana ITV....na kuna kipindi ITV ilikuwa inafanya video production mfano video ya Maprosoo,Tamtam Tunda, Twanga Pepeta zile video zilisambaa sana kwenye tv nyingine zikiwa na credits za ITV Productions kwenye Title.
mbona huongelei mashehe wamejaa kwenye hiyo channel mbaka basiKazi kuwaweka wakina ..walokole wa kila aina wanapiga kelele tu...[emoji6]
πππhuduma ya kwanza na Mathew mkanyemka IPO vilevile tangu sina mtoto had Leo anaanza form one
unaweza kukaa na kuangalia ITV zaid ya taarifa ya habari ambayo nayo sasa inafifia!!?..huduma ya kwanza na Mathew mkanyemka IPO vilevile tangu sina mtoto had Leo anaanza form one
ITV hakuna kitu..na itapoteahiyo ndo siri ya mafanikio ya ITV kupewa tuzo ya superbrand kila mwaka. Yani kila kitu kipo vile vile marekebisho ni madogo mno wamefanya. mfano logo wameiacha ile ile hawajabadili kama channel ten. Sikiliza ule mlio wa habari ni ule ule tangu 2000 huko hadi leo. ujue kitu ambacho umekizoea kila siku unakiona na kinakuvutia siku kikibadilika kuna uwezekano na wewe ukabadilika ukakichukia. inshort jamaa bodi ya wahariri, warusha matangazo (mfano kina Benedict Lusese, Paul Urio), mafundi karibia wote ni wale wale coz elimu yao ni nzuri na hawajaona waku_replace nafasi zao hadi CEO wao ni yule yule haja_change, labda presenters ndo wanawabadilisha. na mission yao ni ile ile kama inachange bas wanabadilisha kidogo tu kuendana na ulimwengu mfano social networks, website, applications. jamaa contents zao hazipo complicated ni simple kuelewa na simple graphics yeyote anaweza kuelewa what is going on. Presenters wao wapo straight hakuna kuzunguka saana kama wengine. na wanaenda kwa matukio. kile kinachozungumzwa sana mtaani ndo kinarushwa ITV.