Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,709
- 36,164
AhahahaKuna mmoja nilimsikia akisema hiyo inasaidia kupunguza mionzi.
Mionzi ya CosmicAhahaha
Mionzi ya sato au mionzi ya nini?
Kwahiyo mtu aliweza kugundua mionzi ya cosmic inayozalishwa kutokana na maongezi ya simu akashindwa kugundua simu mpya!!!!!Mionzi ya Cosmic
Mdau unajitetea!!Hujawahi kutumia kitochi kinachozingua spika....
Kwani Kuna shida?Kwahiyo mtu aliweza kugundua mionzi ya cosmic inayozalishwa kutokana na maongezi ya simu akashindwa kugundua simu mpya!!!!!
Maajabu ya Kiafrika
SijuiKwani Kuna shida?
Hahaha dohKuna mmoja nilimsikia akisema hiyo inasaidia kupunguza mionzi.