Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,124
Kuna mambo mengi ambayo tunayaona mitaani mpaka wengine tunashangaa.
Mtu anapigiwa simu anatazama jina anapokea kisha huigeuza na kuanza mazungumzo. Watu wanajifanya kujua kuliko aliyetengeneza simu.
Huu ujuaji ungeambatana na uvumbuzi wa simu mpya ingependeza zaidi. Mtu hata kuunda batteries za simu hujui then unakuja na ujuaji mwingi.
Kama wewe hujahusika katika kuunda kifaa chochote fuata maelekezo uliyowekewa na wataalamu na si vinginevyo.