Ni nani aliyewadanganya watu wengi kuwa kugeuza simu wakati wanapoongea na mtu ni jambo bora zaidi?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,477
35,352
Kuna mambo mengi ambayo tunayaona mitaani mpaka wengine tunashangaa.

Mtu anapigiwa simu anatazama jina anapokea kisha huigeuza na kuanza mazungumzo. Watu wanajifanya kujua kuliko aliyetengeneza simu.

Huu ujuaji ungeambatana na uvumbuzi wa simu mpya ingependeza zaidi. Mtu hata kuunda batteries za simu hujui then unakuja na ujuaji mwingi.

Kama wewe hujahusika katika kuunda kifaa chochote fuata maelekezo uliyowekewa na wataalamu na si vinginevyo.
 
Ile screen vidole vyetu vinakuwa printed pindi tunapogusa sembuse sikio na shavu?

Kwa wa kazi wa dar lile joto kuongea mda mrefu wanaelewa kero yake.nnakushangaa unaingilia maisha ya watu

Mbona umeumbwa bila tobo lolote ila mnajifanya mnamkosoa alie waumba kwa kujitoboa masikio hadi pua?

Sembuse SIM?
 
Simu nying zinazogeuzwa n ndogo a.k.a vitochi. Kwa uzoefu wang, baadhi yake zimewekew spika moja tu kw nyuma. Hivyo ukiweka sikioni kw mbele, saut huisikii vizuri. N hivyo tu
 
Mbona huulizi kwann mkulu wa nchi akivaa suti yake hafungi vifungo vyote viwili anafunga kile kimoja tu au unaamin anapingana na mshonaji?
 
Tatizo spika za mbele za vitecno vyetu hazisikiki vizur kwaiyo tunageuza ili tupate usikivu mzur
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom