WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,584
- 2,446
Amani kwa wote wakuu,
Tangu kuchaguliwa kwa viongozi wa awamu ya tano, kunekuwepo na kauli kuwa nchi hii ilikuwa imepinda na hivo zinahitajika juhudi kubwa sana za kuinyoosha....
Rais Magufuli, mara kadhaa katika hotuba zake amekuwa akisisitiza hili na hata kuenda mbali zaidi na kusema kuwa "utumbuaji wa majipu" ni moja ya harakati za kuinyoosha nchi...
Nmejiuliza maswali kadhaa..hivi ni nani aliyepindisha hii nchi? yuko wapi huyo " mpindishaji?" amechukuliwa hatua yoyote ili iwe fundisho kwa wengine?
Naomba mwenye kumfaham anishirikishe na mimi..ili nimfaham mtu aliyeturibia nchi mpaka rais anakuwa na kazi ngumu ya kuinyoosha.