Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,619
- 3,983
Sijajua mkuu ila hawa ni wanyama halisi wamewafanyia kautaalamukumbe wala wanyama tunaowaonaga wamewekwa kweny mahotel makubwa sio wakuchongwa me nilikuwa najua ni magogo yale
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
MummificationWamisri wa kale walikuwa wanahifadhi maiti za wafalme wao kwa namna hii hii sasa wewe usiejua unaona mimi kama nimelewa
Yup mummification au embalmingMummification