Ni mwanamke au mwanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mwanamke au mwanaume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBURUDISHO, Jun 17, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Eti kati ya mwanamke na mwanaume walio ndani ya ndoa ni yupi akiwa na mpenzi nje ya ndoa (hawara) huwa anakuwa na dharau sana ndani ya nyumba na kwanini??????????
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  when a woman is fed up.......
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika sana ila naona mara nyingi mdada huwa na dharau
   
 4. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duuuuuuuuuuuu!!! haluuuuuuuuuu mdada ni nouma!!yani sina hata hamu LOL!
   
Loading...