Samahani mkuu,nijibu yafuatayo tuweze kupata pakuanzia..
1. Umetoka jela hivi karibuni?
2. Kuna tukio umefanya la hatari kiasi kwamba una mashaka mashaka?
3. Una familia na umefukuzwa kazi au biashara haziendi vema?
4. Kuna mwanamke\mwanaume uliyempenda sana na mmeachana au kaku dissapoint kwa namna yyte ile?
5. Unawachukia sana wasukuma? Maana miezi 13 ni sawa kabisa na umri wa madaraka wa Ngosha.
Embu angalia kama Upo ktk category yyte hapo nione namna ya kuanza kukushauri mkuu.
Hapa naona una pressure mwilini kwako (HBP) hicho ndio chanzo kikuu cha hizo ndoto! Baadhi ya mishipa ya fahamu inakuwa kwenye mgandamizo na yote hayo hutokea! Jitahidi kila uamkapo kabla ya chochote unywe maji lita moja na nusu baada ya week tuwasiliane
Hapa naona una pressure mwilini kwako (HBP) hicho ndio chanzo kikuu cha hizo ndoto! Baadhi ya mishipa ya fahamu inakuwa kwenye mgandamizo na yote hayo hutokea! Jitahidi kila uamkapo kabla ya chochote unywe maji lita moja na nusu baada ya week tuwasiliane
Hata kama hukutaka Rais Magufuli awe Rais ndiyo Rais tena wewe endelea na kazi zako kama ni halali na siyo halali hautapata huo usingizi.NI MWAKA SASA, USINGIZI HUJA KUANZIA SAA 8 USIKU NA UNAKATA SAA 11 ALFAJIRI.
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.
Ni miezi isiyopungua kumi na tatu (13) sasa,hata niwe nimechoka vipi, hata niwahi kulala vipi , usingizi wangu huanza kuja kuanzia saa nane (8) usiku na hukatika saa 11 alfajiri. Nimejitahidi kujilaza mapema lakini wapi,ngoma tight.Ni tofauti na huko nyuma ambako ilikuwa nikidondoka kitandani saa 3 usiku, saa 4 haifiki ninakuwa nimeanza kukoroma na kuota ndoto tamu tamu.
Siku hizi hata hayo masaa machache ninayolala (tuite kupumzika), naota ndoto ngumu, chungu, za hasira na za uwoga sana.
Muda wote huo ninapokuwa macho, nachukua simu yangu na kuanza kuperuzi habari, matukio mitandaoni.Hii n kwasababu macho huwa makavu kabisa, kama asubuhi ya saa 4.
Naombeni ushauri ndugu zangu.Ni nn hiki kinasababisha nakosa hii raha namba 1 duniani.
Asanteni sana.
Hili usemalo ni kweli,hata mimi kuna kipindi nilijiendekeza sana na smart phone,nilikuwa almost silali kabisa na kibaya zaidi hata macho yangu yakapunguza uwezo wake wa kuona.Lakini niligundua pia kuwa kulala peke yako ni moja ya sababu kubwa na pili ni stress zikikubana vizuri na ukaziendekeza lazima uteseke na hiyo shida,pole sana.Smartphone zinasababisha ukose usingizi
Sasa nakushauri Fanya mazoezi jion utachoka so utalala mda mrefu angalau hata uhakikishe unalala masaa 7