BenB
Member
- Aug 30, 2011
- 7
- 0
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?