Ni Mvivu sana kupiga sim ila na mimi nikileta uvivu analalamika

BenB

Member
Aug 30, 2011
7
0
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?
 
huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.
 
Ben sometimes haya mambo inategemea mmezoeshana Vipi.... Yawezekana toka mwanzo wee ndo ulikua unamtafuta every single day yee akiwa hana habari na kuchukulia for granted kua wee utamtafuta na kweli inakua hivo. Mie nahisi kama anakupenda ila tu yupo selfish na sensitive... anataka saana kuwasiliana na wewe but kupiga kwake ni tatizo.... Na pia nikija upande mwingine... kwa mioyo yetu wanawake kwamba hata siku moja hakutafuti?? Kweli kuna walakini... yawezekana she is not into you but tu ni mlalamishi na anapenda attention... thus the kulalama part...
 
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?

pole sana mkuu, hiyo ndo tabu ya kumpenda sana demu alafu naye akajua. Ebu jaribu kumchunia angalau wiki, hapo ndipo utajua mbivu na mbichi. Mda mwingine kumchunia mtu ni njia mojawapo ya kumuweka karibu.
 
jamani tuangalie pande zote
huyu kaka amempa vocha , kwa sababu twa weza sema sana kumbe "demu"ni dent na hana kipato iyo pesa ya vocha ataitoa wapi na yeye hamtumii
by the way muwezeshe kukupigia simu hata kama anakazi ila mpe vocha mwe eeee vidume vya sikuhizi mnapenda kujaliwa ila nyie kutoa shughuli.
ushauri piga simu bilakulalama
 
huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.

mi pia ilishanitokea, mwanzo nilikuwa nikimpigia kupitia simu ya dada, alikuwa anitafuti na akadai ye ni mzito kushka vitu vya watu, kidume nikajipinda nikamnunulia simu>cha ajabu hata baada ya kumpa simu, siku ile ilipita kavu bila kunitafuta mpaka nikaja kumpigia kesho yake. Katabia hako kaliendelea, akikuta missedcall hashtuki na hata kusema good night ilikuwa ishu. Nikajua labda tatizo vocha, tuma vocha we lakn wap, unaweza ambulia text moja. Nilichoka na nikaamua kubwaga manyanga, na mpaka leo kauchuna. Nilipochunguza nikagundua ana bwana mwingine..
 
Hamna maana nyie, na hiyo huwa mnaitumia sana kupiga mizinga ya vocha, sms au call za kuomba hata hazinogi.
jamani tuangalie pande zote
huyu kaka amempa vocha , kwa sababu twa weza sema sana kumbe "demu"ni dent na hana kipato iyo pesa ya vocha ataitoa wapi na yeye hamtumii
by the way muwezeshe kukupigia simu hata kama anakazi ila mpe vocha mwe eeee vidume vya sikuhizi mnapenda kujaliwa ila nyie kutoa shughuli.
ushauri piga simu bilakulalama
 
me navyojua, mwanamke akikupenda utachoka hizo simu na sms zake, huyo manzi ako anakuchukulia for granted sema anashtuka kuwa atakupoteza ndio maana anahoji why hupigi. Hataki kukupoteza kwa sababu u always hapo. Ila huyo demu anampenda mtu mwingine afu huyo mwengine nae anaonekana hapendeki
 
Mmhh wanaume sometimes mnasababisha mtu hasikutafute kwenye simu,kwa mfano mimi bf wangu tumechuniana siku ya tatu sasa na me ndio nilikua mtu wa mwisho kumpigia lakini hakupokea na amekuta mis call wala hakujali kuludisha sasa mtu kama huyo kwa nini umtafute,husipomtafuta anachukia ukimtafuta ndio hivyo analeta poze
 
Mkuu demu ambaye hana vocha ukimpigia anafurahi yaani kwake kama bahati,basi hata miss calls zake utazikuta,but kama hana reaction hizo we mpige chini...............siku zote mambo ya kutegeana kwenye mapenzi siyo ishu.Siwezi kufululiza kupiga simu kila siku halafu ye kauchuma tu.
 
Mmhh wanaume sometimes mnasababisha mtu hasikutafute kwenye simu,kwa mfano mimi bf wangu tumechuniana siku ya tatu sasa na me ndio nilikua mtu wa mwisho kumpigia lakini hakupokea na amekuta mis call wala hakujali kuludisha sasa mtu kama huyo kwa nini umtafute,husipomtafuta anachukia ukimtafuta ndio hivyo analeta poze
Inawezekana yeye alikupigia,ukawa mkimya kwa mda kwa hasira zako halafu baadaye ukaanza kumpigia na yeye ikafika mda wake kuuchuna
 
Mkuu hiyo kitu ni kawaida sana. Wanawake weng huwa wanapenda kupigiwa simu mara kwa mara. Binafsi nadhani huwa wanahisi kupendwa zaidi wanapopigiwa simu na wale wawapendao.
 
me navyojua, mwanamke akikupenda utachoka hizo simu na sms zake, huyo manzi ako anakuchukulia for granted sema anashtuka kuwa atakupoteza ndio maana anahoji why hupigi. Hataki kukupoteza kwa sababu u always hapo. Ila huyo demu anampenda mtu mwingine afu huyo mwengine nae anaonekana hapendeki
Hiyo kweli,ebu ajaribu kubadili namba kama atamtafuta
 
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?

ndio kawaida ya wanawake. Hata demu wangu naye anapenda mimi ndio nimtafute. Just take it easy.
 
huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.
Mkuu kweli,demu akikupenda mbona kila saa atakuwa hewani tu,lazima akutafute halafu hata usipopiga hana tatizo ye anaona kama wajibu wake
 
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?

Nyie mnapenda sana kuea wanawake kijinga. Mpigie simu kwa sababu wewe unampenda, kama yeye hapigi basi mwache siku moja atajua umuhimu wa kukupigia.

La sivyo mwambie aache tabia zakibinafsi akimind, mpigie chini. Utafute mwenye kukupigia simu na kuchat all the time. mambo mengine huna haja ya kujiuliza sana.
 
Hata mm nilikuwa na gumegume fulani hvi,nalo kupiga simu ilikuwa ishu kwake kisa sina vocha,kidume nikajipinda daily full kutuma ma vocha lakini wapi!!nikiamua kupiga simu night kali,kama 5 au 6 fulan hvi....full kukutana ma-call waiting baadae nikahamua kumpotezea.Kwa sasa kwasababu anajua naelekeo kupenya lenyewe linanitafuta lakini kidume sina habari .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom