Ni Mungu au?

Hii ishu hata mi nishawahi kuiwazia

Maana hata mwanzo wale waliomkataa Yesu walikuwa ni wana flani wenye elimu zao, wameshika maandiko mno na waliyatumia hayohayo kumkataa. Nadhani kiburi na ego vilichangia.

Mfano andiko la sheria za sabato.

Lakini pia wapo waliokuwa na elimu na walimkubali pia..... nadhani mtu yeyote akifungua akili na kuupokea ukweli atamkubali Yesu huyo aliyepita na hata huyo ajaye.

Hatapata tabu maana ukweli huwa unaresonate na wa-kweli to atatambulika.

Lakini pia hatategemea kutambulika ili atimize anachokitaka bali hata sasa ako na mamlaka yote na hukumu kwa kila mmoja.
 
mbona kitabu??

nilitaka kuona hio keki hilo tu kwani angeweka picha kingetokea nn sawa ameelezea nimemuelewa hukutaka kuiona hio keki?? mie nilitaka tu niione na hayo maneo yake
 
Hapa hasa ndipo kwenye swali langu.labda niongezee kwa swala jengine ambalo nalo limekuwa likitokea mara kwa mara.Kuna watoto ambao wanazaliwa wakiwa wamehifadhi juzuu zote thelathini pamoja na mafundisho yote ya dini ya uislam.Wanaitwaga masharifu.Sasa hapo ndipo lile swali langu linapokuja.
*PICHA ZIPO ILA HAZIKUTUNZWA VIZURI SO ZIMECHUNIKA FLANI HIVI.KAMA VP NITAJARIBU KUCHECK AMBAZO ZINAONEKA KIDOGO THEN NITAZIWEKA.
Ila sio stori ndugu zangu,sina tu jinsi ya kuwafanya mnielewe bt nikweli imetokea katika nyumba ambayo nimezaliwa.Sina nia ya kupromote dini coz hata mm nimeona km dini zetu zna ukakasi.Nachotaka tuzungumzie hapa ni hili la maandishi katika keki.Maandishi ambayo ni aya za quran.
 
mbona kitabu??

nilitaka kuona hio keki hilo tu kwani angeweka picha kingetokea nn sawa ameelezea nimemuelewa hukutaka kuiona hio keki?? mie nilitaka tu niione na hayo maneo yake
Ucjali ndugu ntawawekea picha ambazo zitakuwa zinaonekana
 
Umeandika kwa urefu sana mkuu. Huyu jamaa kasema ni tukik lililotokea na picha zikapigwa na kusambazwa. Habari hii tunaiona kwa mara ya kwanza.

NAKAZIA:- PICHAAAAAAAA
 
Toka mwezi wa ramadhani mpaka leo imepita miezi mingapi? Au hukuwa na bando?
 
Toka mwezi wa ramadhani mpaka leo imepita miezi mingapi? Au hukuwa na bando?
Imepita miaka kama kumi na saba tangu ili tukio na wala sio mwezi wa ramadhani uliopita ndugu.Na km bnadamu ambaye nilikulia katika familia iliyo kwenye upande wa uislam lile tukio lilinifanya kuzidi kuamini zaidi uislam na sio kuanza kujiuliza.Nimekuwa sasa,Kuna vng najifunza kwa kusoma,kuona na kusikia.Akili inajaribu kupata jibu kamilifu mara kwa mara juu ya lile tukio.Jana niliporudi nyumbani nikakumbusha kuhusu lile tukio.Nia yangu ilikuwa kutaka kuulizia yeyote ambaye ana ushahidi wa lile tukio kwa maana ambaye amehifadhi vizuri zile picha.
Niliamua kulileta hili jambo humu ndani ili kupata mawazo yenu.Mawazo yenu hasa ndio kiu yangu maana bado naishi nikijifunza.Vitabu vingi vya dini vinamueleza binadam na majukumu yake hapa duniani.Vipo vinavyowiana kimtindo na vingine vipo tofauti kabisa,Ila navyo ni vitabu na vilikuwa na wahumini kulingana na muda wake.Na vyengine vilikuwepo nyuma zaidi kabla ya vitabu vyetu watu wa kizazi hiki.
Sasa kuna kipindi ambacho wazungu wanakiita 'DARK AGES'.Inavyosemekana kipindi hiki ndicho ambacho mtawala wa dunia kipindi hicho WARUMI waliamua kuifuta historia ya dunia na kuandika mpya na kuua yeyote ambaye anaujua ukweli na hakuwa upande wao.Mambo mengi yalitokea muda huu,Vitu vingi vilibadilishwa.Ukweli mwingi ukazikwa na watu wake.Mambo yameenda hadi kufikia hapa tulipo.Hizi story za message za mungu zipo nyingi dunia nzima na ni dini zote.Ukisoma kitabu cha End Of Days cha Sylvia Browne utaona ushuhuda kutokea kwenye dini mbali mbali.Lakini hili limenitokea mimi nyumbani kwetu sijasimuliwa.
 
Hizo Aya zilikuwa zinasemaje baada ya kutafsiriwa?
 
Kumbuka hata majini wapo waislamu..

mmejuaje sio hayo majini ?
 
Muongo mkubwa wewe , miaka kumi na saba (17) whatsaap haikuwepo 😂 😂..

Hivi ni lazima uitetee dini yako kwa kusema uongo.... daah eti miaka 17
 
Muongo mkubwa wewe , miaka kumi na saba (17) whatsaap haikuwepo
..

Hivi ni lazima uitetee dini yako kwa kusema uongo.... daah eti miaka 17
Its ok.Bt nia yangu haikuwa kuionyesha jamii km mm ni mkwel au la.dhima ni kupeana elimu au ufafanuzi wa mada husika.sasa kwanini niongope kwa sala ambalo halinipi faida yoyote.Km unaona naongopa au natangaza dini its ok....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…