Mucho Hunter
Member
- Apr 27, 2022
- 8
- 7
NakaziaPicha??
Picha??
picha
Nakazia
Picha mzee baba
Mtu katoa ushuhuda lakini Kila mtu hajaridhika na story wanataka mpaka pichaPicha umekula?
HahahaPicha umekula?
Iandikie "siredi" mkuu.Mtu katoa ushuhuda lakini Kila mtu hajaridhika na story wanataka mpaka picha
Imagine content yote hiyo lakini bado haijatosha kuifanya habari ichukuliwe serious.
Na hiyo picha inayoombwa sio kama ndio itakata kiu ya uthibitisho,
Sometimes unaweza fikiria labda hawa watu wakipewa picha watakubali lakini utashangaa picha imewekwa lakini wakafungua ukurasa mwingine, picha imekuwa debunked unaambiwa hiyo ni photoshop.
Hiyo yote ni kwasababu ya elimu. Penye elimu ni ngumu sana kushawishi watu kihisia na ndio maana mapasta wa miaka hii wako katika wakati mgumu kumshawishi mtu kwa dhana ya miujiza kwa ushuhuda.
Huwa nafikiria sana katika muktadha wa kidini ambao umesema kuna ujio wa yesu kwa mara ya pili.
We unayeamini ushawahi fikiria siku Yesu amekuja atapata changamoto gani kuwaaminisha watu kua yeye ndio Yesu?
Atatumia namna gani kuwaaminisha watu?
Tuna records za watu wengi kusema wao ni yesu lakini mwisho wao haukuwa mzuri.
Je huyo Yesu halisia unayesema atakuja atakuwa na kitu gani cha kipekee kujitofautisha na hao waliotangulia?
Hata akifanya muujiza ila katika ulimwengu wenye watu walio elimika watasema tu hiyo ni trick.
Na usikute upinzani akaupata zaidi kutoka kwa mapasta kama isivyo tegemewa. Na wakawa wanapinga kwa hoja kupitia vifungu vya biblia hiyo hiyo iliyomtaja na kutambiri ujio wake
Wakisema "biblia imeelezea mwisho wa dunia watatokea watu wengi kama wewe wakijinasibu kuwa ni Yesu". Halafu watamkemea kwa jina lake mwenyewe kuwa atoke yeye ni pepo.
Mwisho wanaweza mpa hata kesi ya uhujumu uchumi na mdhamana asipewe. Hao ndio watu wa kileo
Hiki kizazi kingekuwa katika ile miaka ya nyuma waliyoishi mababu zetu, aisee waarabu na wazungu sijui kama wangefanikisha kuturithisha dini zao.
mbona unalalamika sana? elimu haitoshi kama huna akili, je, ukitoa kile ulichofundishwa kinachobaki ndo akili je,una akili weweMtu katoa ushuhuda lakini Kila mtu hajaridhika na story wanataka mpaka picha