sasa unakuta mkeo amekuandalia msosi saaaafi hapo dining halafu huyooo anaondoka,anaenda kutizama TV. Hapo dining huna hata wa kuongea nae. Hata kama ulikuwa unakula nae akishamaliza huyooooo kaondoka! Hii ni tabia mbaya isiyopendeza.
Usikute nyumba ndogo yenyewe ndo wewe halafu akikauka unaanza kulalama tena....
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe
ukisikia ulafi ndio huo.
u knew there where know answers and yet you asked!!!!!!!!!!!
Why did you ask!!!!!!!!
huu ni mfumo dume kwan wanawake tukitoka job hatuwi na stress ,hatuchok
I always put this in mind"He's got his cake and is eating it, too.siwezi kulalamika
Amejitahidi nini?
Kipi???????
Yapi hayo??
Kwanini tunaishi pamoja?
Kama ni kwa mtazamo wako huu kusingekua na ndoa!!!
Hujui unachoongea wewe!!!!!!
.uanamke kazi sana
Uanaume rahaaaaa.....
usikurupuke ndugu !
Uliza ujibiwe!
Amejitahidi nini?
Kipi???????
Yapi hayo??
Kwanini tunaishi pamoja?
Kama ni kwa mtazamo wako huu kusingekua na ndoa!!!
Hujui unachoongea wewe!!!!!!
Kila wanandoa wanamaisha yao tofauti na wanandoa wengine ! Jiongeze hapo!
since men and women differ in various aspects hata katika suala la mapenzi na ndoa!
tena uombe hasa na kunena kwa lugha la sivyo hizo juice zako,kanga moja kuchungulia mauvunguni kumbinukia n.knk! Vitapigwa teke kuleeeeeh! Juice itachacha hiyo! Utaanza kuvaa vijeans mwenyewe atakapoanza visimall house loh! Endelea kupga maombi!
Umetoa majibu mzuri sana, na yenye staha! Niliamini ungeliweza kupaniki na kuwa mkali, you are grown up!hamna shida Smile ndivyo Mungu alivyotofautisha ufikiri wetu!asante kwa kuusoma upuuzi wangu anyway!nakugeuzia na shavu la pili! na hata kama hutakubali ndoa za hivyo zina furaha kuliko za kushindana!
Ulishatendwa nini? au wewe ni nyumba ndogo? maana michango yako unaponda kila lililojema la kuhusiana na ndoa.