Heaven on Earth ni kweli mimi siamini katika tendo la ndoa kabla ya ndoa. na nyumba ndogo nazipiga vita sana.Mungu amuepushe nazo mume wangu!
wanaume hawaridhiki hata umkalie uchi saba mara sabini!
kama unajua siwezi kujua unaniuliza hayo maswali yote ya nini!!!!!!
ni kweli, waume nao wanpofanyiwa hivi wajifunze kuappreciate!na kuongeza mapenzi kwa wake zao.
mbona wa kina dada wanajitahidi kuwa handle wa ume zao lakini wanaume sometimes ndiyo mgogoro mara kaja mtungi uko kichwani mataelewana kweli?. nafikiri wapendanao wowote wana style yao ya kuishi ambayo kwa mngine anaweza ona kama ni janga
.......kama nimeshiba wali, nikiona ndizi nyama napata njaa.
ndo tushakuja bado kubwa la maadui! amejitahd
but mengine ni too general
since men and women differ in various aspects
hata katika suala la mapenzi na ndoa!
Tema mate pembeni lol...
Hujampata mwenye kuitumia hiyo vere preshazi opotyuniti...unkalie uchi kutizame tu!!!
Ulijibu ya nini sasa????
Hiwezekani hata kidogo!!!!
Labda sio shibe hiyo!!!!!!!!
Ulishawahi kuona mtu alieshiba anatamani kula tena???
re read your posts
and u uliuliza ya nini sasa!!!!!!!!!!!
tupe maana ya shibe basi!
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe
Kufikia ukomo wa hitaji la kula!!!!!!!
so what????????
Usikute nyumba ndogo yenyewe ndo wewe halafu akikauka unaanza kulalama tena....wengine mnafanyiwa YOTE hayo na kwenye nyumba ndogo hamkauki.......,
muwage na shukrani kwa wake zenu jamani aii!!!!!!!!!
umeona eeh mbaya zaidi ndoa zenyewe hazijitafsiri hivo...tunaona picha tofautisijui kwanini tunataka kuona ndoa ndio kila kitu kwenye maisha, sawa ndoa ni nzuri lakini tusiifanye kama bila ndoa basi ndio mwisho wa maisha ya mtu.