Ni Muhimu kuentertain mume wako

Ni Muhimu kuentertain mume wako

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe
 
Heheh umeandika mambo meeeeengi mazuri ila umesahau kale kamchezo ka kubingirishana...

Wanawake wengi ni wavivu kuanzisha mashamsham haswa wakishaanza kuwa na watoto...
 
hiyo line ya kwanza nimekuona huna akili kabisa.....upuuzi mtupu
 
ujumbe umeshiba,umeongea ukweli cha msingi wake zetu wasome na kuyaishi uliyonena hapa,mungu akubariki.
 
Watakuelewa kweli hawa????

Eiyer, akibadilika mmoja wangu ni mafanikio makubwa saaaaaaaaaaaaaaaana! naye atabadilisha wengine, itakuwa chain mwisho tubadilika wote!
 
hiyo line ya kwanza nimekuona huna akili kabisa.....upuuzi mtupu
hamna shida Smile ndivyo Mungu alivyotofautisha ufikiri wetu!asante kwa kuusoma upuuzi wangu anyway!nakugeuzia na shavu la pili! na hata kama hutakubali ndoa za hivyo zina furaha kuliko za kushindana!
 
Heheh umeandika mambo meeeeengi mazuri ila umesahau kale kamchezo ka kubingirishana...

Wanawake wengi ni wavivu kuanzisha mashamsham haswa wakishaanza kuwa na watoto...
asante sana watu8 kwa kuongezea, ni vema mke ukakicrate mazingira, ukishaoga vaa kikanga chepesi, fanya kama unanyoosha nyoosha shuka, au unaangalia uvunguni, inampunguzia baba uchovu!
 
Eiyer, akibadilika mmoja wangu ni mafanikio makubwa saaaaaaaaaaaaaaaana! naye atabadilisha wengine, itakuwa chain mwisho tubadilika wote!

I tell u wahat

Ni jambi gumu sana kubadilika kwa aina hii

Ngoja wenzako waje halafu utajua mimi niaongea nini!!!!
 
wengine mnafanyiwa YOTE hayo na kwenye nyumba ndogo hamkauki.......,

muwage na shukrani kwa wake zenu jamani aii!!!!!!!!!

Katika hayo yote yaliyoelezwa, mleta mada kashindwa kuelezea jambo moja muhimu sana na hilo ndilo lawapeleka wanaume kwa smolo hauzi
 
wengine mnafanyiwa YOTE hayo na kwenye nyumba ndogo hamkauki.......,

muwage na shukrani kwa wake zenu jamani aii!!!!!!!!!
ni kweli, waume nao wanpofanyiwa hivi wajifunze kuappreciate!na kuongeza mapenzi kwa wake zao.
 
mbona wa kina dada wanajitahidi kuwa handle wa ume zao lakini wanaume sometimes ndiyo mgogoro mara kaja mtungi uko kichwani mataelewana kweli?. nafikiri wapendanao wowote wana style yao ya kuishi ambayo kwa mngine anaweza ona kama ni janga
 
Katika hayo yote yaliyoelezwa, mleta mada kashindwa kuelezea jambo moja muhimu sana na hilo ndilo lawapeleka wanaume kwa smolo hauzi

hahaaaa hili aliloliacha nalo muhimu sana,itabidi aliongezee hapo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom