Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,021
- 6,783
Saudi Arabia anaenda kupandisha bei ya Mafuta tena kwa kisingizio cha Vita.Israel hawakujua kuwa duniani hakunaga kiumbe dhaifu
Netanyahu: Ni Vita ngumu na ndefu ambayo haina mfano
Walisema Hekima ilianzia hapo Hekaluni kwa Suleiman na itaishia hapo hapoSaudi Arabia anaenda kupandisha bei ya Mafuta kwa kisingizio cha Mafuta.
Huku Uswahilini Kitumbua kitafika 700.
Hekima ilianzia Egypt ya kale wakati Majeshi ya Wakushi walipowafurusha Wasiria kutoka JerusalemWalisema Hekima ilianzia hapo Hekaluni kwa Suleiman na itaishia hapo hapo
Naziona dalili zote
Sauti ya Watanzania unawaitaje kuwa ni Mashetani?Ni mqshetani
Saudi arabia: Tumeamua Sawa na Marekani, Hamas wafutwe ni tishio kwa Amani ya Dunia!Haonwafinywe tu, wasiwachiwe hata kidogo.
Ni mqshetani wanaotaka amani na usalama wa Tanzania utoweke.
Kinachowspa kiburi haonni tec.
Hao na tec, wote ni wakufinywa mmoja mmoja tu.
Wala wasifanyiwe haraka.
Waanzwe wanaowatuma, kila mmoja afinywe kwa staili yake.
Makundi yote ya Magaidi yanaungana kuisaidia HamasHekima ilianzia Egypt ya kale wakati Majeshi ya Wakushi walipowafurusha Wasiria kutoka Jerusalem
Sisi tunataka wanaowatuma kina Slaa wafinywe mmoja mmoja.Saudi arabia: Tumeamua Sawa na Marekani, Hamas wafutwe ni tishio kwa Amani ya Dunia!
Makamu wa Rais Dr Mpango aliwaongoza Wananchi kumpokea baba Muadhama Protase Kardinali Rugambwa pale JNIA ππSisi tunataka wanaowatuma kina Slaa wafinywe mmoja mmoja.
Hata Mandela aliitwa gaidi na aliungwa mkono na Tanzania.Makundi yote ya Magaidi yanaungana kuisaidia Hamas
Tunashukuru ile Kesi ilifutwa!
Mandela hakuwa Gaidi wala Mbowe hakuwa Gaidi ndio maana kesi zilfutwa na wala usiwafananishe na Hezbola.Makundi yote ya Magaidi yanaungana kuisaidia Hamas
Tunashukuru ile Kesi ilifutwa!
Palestine itakuwa historiaHata Mandela ali8tqa gaining na ali7ngwa mjono Tanzania.
Nyerere katika Afrika ni namba moja kuwaunga mkono wapalestina. Alifunga mpaka ubalozi wa wayahudi na kuwapa saa 24 wapotee Tanzania.
Slaa na wenzake wasikamatwe kabisa, wafinywe wale wanaowatuma.Palestine itakuwa historia
Tutabaki na hawa Waarabu Wetu wa Mchongo π
Hali ni tete kila kundi sasa linafuatiliwa kwa Karibu sana πMandela hakuwa Gaidi wala Mbowe hakuwa Gaidi ndio maana kesi zilfutwa na wala usiwafananishe na Hezbola.