Malizaneni kwanza na SACCOSHaya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.
CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".
Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.
Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.
Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.
Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
CCM inapambana na adui wa ndani na nje ya mipaka na itawashinda woteBasi kuendesha serikali kumewashinda!
Failure state!
Unasusiaje CCM wakati wapinzani wanaopaswa kuhamasisha hili wanapelekewa mabegi ya pesa na wanalegeza misimamo yao?Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.
CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".
Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.
Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.
Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.
Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
Kweni kuna Polisi wa Chadema?!Mnateka na kuisingizia CCM
Katika Africa baada ya uhuru hakuna taasisi ilikuwa na nguvu kama Makaburu wa Africa ya kusini, ilifika mahali muda ulipofika waliondoka , Madarakani, mimi ninaamini sana Nguvu ya karma . Watafika mwisho na hapo hawatakuwa na mtu wa kuwatoa. Watagota hapo na hawatakuwa na mtu wa kuwaonea huruma. Muda ni dawa ya ajabu sana duniani, inatibu magonjwa mengi sana. Ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa kusahau. Haya wanayoyafanya sasa wanajifanya wamesahau, muda utawakumbushaHaya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.
CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".
Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.
Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.
Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.
Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
Endelea kukejeliMnateka na kuisingizia CCM
Hakuna kuisusia CCMUnapinga kitu kibaya kwa sababu una hamasishwa na mtu mwingine?
I didn't know Msanii you would go that much low!
Huko nyuma hukuwa hivyo!
Ilishasuswa kitambo tu,wanagawa sana hela ndio maana unaona kina mwashamba wanazidi kuchipuaHaya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu.
CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo".
Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu tufanye hivyo kwa CCM, Ni rahisi tuu, ni kujitoa huko kabla haijatafuna nduguyo au rafiki na kujilaumu baadae.
Susia mikutano yao, shughuli zao zote na Chama kadi yao. Bila kusahau kujiunga na chama kingine. Na waacheni wabaki hao viongozi wao muone kama watakuwa na nguvu ya kuteka na kuua.
Wafanyayo dini zote hazikubaliani, labda zile sacoss za maokoto.
Tumuombee usalama Abdul Nondo kama tumuombeavyo uzima Soko na wengine.
Ittaqillaha ya habib!Mnateka na kuisingizia CCM