Ni muda wa mabadiriko
ni muda wa kujikomboa
ni muda wa mapinduzi
ni muda wa kuondoa rushwa
ni muda wa kuondoa umasikini
ni muda wa kufurahia rasilimali zetu
ni muda wa mimi na wewe kuleta mabadiriko
tuchague viongozi na siyo vyama 2015
tukitaka viongozi safi kesho lazima tuwe safi leo kwa sababu kesho haiwi bila leo