Ni muda gani Rais anaweza kupokea simu yake?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kuna jambo jana lilijitokeza dodoma kwenye maadhimisho ya nyerere day ambalo kwa hali ya kawaida toka nimepata akili sikuwahi kushuudia. Ni lile jambo la Rais kikwete kupelekewa simu na kuipokea pale uwanjani.

Je,Inapofikia rais kuongea na simu kwenye halaiki ya watu ni kwa umuhimu gani? Mbona asinge ijibu baada ya shughuli? Aliyepiga hakujuwa rais alikuwa kwenye shughuli ya kitaifa?

Ni watu gani katika nchi wenye mamlaka ya kupigia rais simu muda wowote? Je,Rais si ana simu yake ya mfukoni? Kama anayo mbona aliyepiga alipiga kwenye simu iliyobebwa na msaidizi wake?

Wenye uelewa tunaomba ufafanuzi wa jambo hili.
 
Alimpigia mgombea urais kumkumbusha kuwa asiache kumuombea kura maana yeye mwenyewe pumzi kwishaaaa

Haina.madhara kamanda
 
Mwamunyange alikuwa arudi leo saa 9 alasiri,ila ameamua apumzike kidogo dubai kutokana na uchovu wa ziara ndefu barani ulaya.
 
labda alipigiwa na mwamunyange lazima apokee tu hata kama yupo maliwatoni
 
Dalili za panic ni kutojiamini na kuogopa kila kitu. Ndicho kinachomkumba kikwete kwa sasa
 
Kuna jambo jana lilijitokeza dodoma kwenye maadhimisho ya nyerere day ambalo kwa hali ya kawaida toka nimepata akili sikuwahi kushuudia
Ni lile jambo la Rais kikwete kupelekewa simu na kuipokea pale uwanjani.
Je,Inapofikia rais kuongea na simu kwenye halaiki ya watu ni kwa umuhimu gani?
Mbona asinge ijibu baada ya shughuli?
Aliyepiga hakujuwa rais alikuwa kwenye shughuli ya kitaifa?
Ni watu gani katika nchi wenye mamlaka ya kupigia rais simu muda wowote?
Je,Rais anasimu yake ya mfukoni?Kama anayo mbona aliyepiga alipiga kwenye simu iliyobebwa na msaidizi wake?
Wenye uelewa tunaomba ufafanuzi wa jambo hili.

Labda ni Obama hakujua kama shughuli ya kitaifa inaendelea
 
Hii ni dalili ya kuwa homa ya kuishiwa pumzi imefikia pabaya sana.Mheshimiwa Rais atakuwa alipewa maelekezo kadhaa ya kuyawasilisha kwa Umma na Makada Watiifu wa CCM na sasa akawa amebugi hivyo waliompa wakalazimika kumpigia kuona kama ataomba tena fursa ya kuongea lakini ikawa too late!!Suala la idadi ya wapliojiandikisha kuwa Milioni 28.7 ilikuwa ni siri na yeye kwa Bahati mbaya akaliweka hadharani..Amini Wabaya wote wataumbuka siku za mwisho!!Hakuna anayeweza kupambana na nguvu ya Umma!!
 
Watanzania mna kila haki ya kushangaa kila kitu kwani mtu anazaliwa, anasoma hadi uprofesa hajawahi kwenda hata Nairobi.kwa hiyo hilo nalo limekushangaza?

G.Bush alivyoruka toka kwenye gari alivyokuja Tanzania uliona? Obama alivyokuwa anamnong'oneza waziri mkuu wa uholanzi na mke wa Obama akakasirika na kwenda kukaa katkat yao uliona? ingekuwa bongo ungesemaje?

Mwaka 2006 Vradimir Putin wa Urusi alienda Japan, na kuanza kucheza dojo na waziri mkuu wa wakati huo, je, angekuwa wa kwetu si ungeshangaa sana KIBO?

Heb uliza vitu vya msingi upate majib ya msingi.
 
Mkuu kama kweli vile!!

Swissme
 
Watanzania mna kila haki ya kushangaa kila kitu kwani mtu anazaliwa,anasoma hadi uprofesa hajawahi kwenda hata Nairobi.kwa hiyo hilo nalo limekushangazaaaaaaa????G.Bush alivyoruka toka kwenye gari alivyokuja Tanzania uliona??Obama alivyokuwa anamnong'oneza waziri mkuu wa uholanzi na mke wa Obama akakasirika na kwenda kukaa katkat yao uliona??ingekuwa bongo ungesemaje???mwaka2006Vradimir Putin wa Urusi alienda Japan,na kuanza kucheza dojo na waziri mkuu wa wakati huo,je,angekuwa wa kwetu si ungeshangaa sana KIBO???heb uliza vitu vya msingi upate majib ya msingi.

Wewe huna hoja. Hayo uliyoeleza hayafanani hata kidogo na alilouliza mwanzisha thread.
 
Watanzania mna kila haki ya kushangaa kila kitu kwani mtu anazaliwa, anasoma hadi uprofesa hajawahi kwenda hata Nairobi.kwa hiyo hilo nalo limekushangaza?

G.Bush alivyoruka toka kwenye gari alivyokuja Tanzania uliona? Obama alivyokuwa anamnong'oneza waziri mkuu wa uholanzi na mke wa Obama akakasirika na kwenda kukaa katkat yao uliona? ingekuwa bongo ungesemaje?

Mwaka 2006 Vradimir Putin wa Urusi alienda Japan, na kuanza kucheza dojo na waziri mkuu wa wakati huo, je, angekuwa wa kwetu si ungeshangaa sana KIBO?

Heb uliza vitu vya msingi upate majib ya msingi.

Jibu swali,acha sarakasi maana tayari naona kabisa umeishiwa pumzi!!
 
Kuna jambo jana lilijitokeza dodoma kwenye maadhimisho ya nyerere day ambalo kwa hali ya kawaida toka nimepata akili sikuwahi kushuudia. Ni lile jambo la Rais kikwete kupelekewa simu na kuipokea pale uwanjani.

Je,Inapofikia rais kuongea na simu kwenye halaiki ya watu ni kwa umuhimu gani? Mbona asinge ijibu baada ya shughuli? Aliyepiga hakujuwa rais alikuwa kwenye shughuli ya kitaifa?

Ni watu gani katika nchi wenye mamlaka ya kupigia rais simu muda wowote? Je,Rais si ana simu yake ya mfukoni? Kama anayo mbona aliyepiga alipiga kwenye simu iliyobebwa na msaidizi wake?

Wenye uelewa tunaomba ufafanuzi wa jambo hili.
Mpigie Mwenyewe Umuulize Atakujibu tu.
 
Kama ilikuwa kabla hajatoa ile hotuba ya mkwara basi itakuwa ilikuwa cm muhimu ya hayo maelezo
 
Obama alipoamua kupanda gari lake la raisi na dada yake alipozuru kenya hivi karibuni ni maajabu viongozi wana maamuzi yao pia nje ya itifaki
 
Ni hivi, rais simu zake zote anashika Yule mpambe anayekaa nyuma yake kavaa nguo za jeshi. Hakuna simu hata moja inayopigwa asiipokee, anasikiliza then kama jambo ni muhimu anapelekewa. Kumbuka rais anatakiwa kutoa go aged ya jambo fulani hivyo anapigiwa kuthibitisha. Hivyo wakati wrote anapokea simu. Ila usiku mara nyingi anakuwa nayo.
 
Nadhania Rais ana haki ya kuongea na simu wakati wowote kutegemea na mazingira, kwa mfano Dodoma alikuwa anaongea na wananchi wake haina tatizo lakini anapokuwa kwenye mikutano mikubwa na viongozi wenzie hawezi kufanya jambo kama hilo.
 
Mbona hata simu zangu huwa anapokea mara kibao tu na tunapiga nae story fresh kabisa?punguza kushangaa mkuu
 
Unampigia muda gani??
Wiki yote hii nimenchek hajapokea,Leo nilikua nafungia mbuzi nikakuta missed call yake kumcheki hapatikani.
 
Back
Top Bottom