Ukiwapa attention ndio unazidi kuifanya hali yako kuwa mbaya kabisa, kujiamini ni sahihi ila kama huna hela ni bure utaishia kujidhalilisha tu.
Kuna muda ni bora uonekane nyuki wa mashineni huna madhara ila mambo yako yaende kuliko kutaka kuonesha uwezo alafu ukazidi kudidimia kiuchumi.
Wanawake wana gharama, ukijihusisha nao hasa kimapenzi ni lazima ukubali kugharamika.