Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 473
- 198
unakipata wap kifurushi hicho mkuuVoda Gb 3 muda siku 5 kwa sh 2000.
Najiungaje mkuu msaada tafadhaliVoda Gb 3 muda siku 5 kwa sh 2000.
GB 3 ni kifurushi cha kutumia saa 1 tuu kama unatumia kuchati labda ndio kitakaa hizo siku tanoVoda Gb 3 muda siku 5 kwa sh 2000.
swal kinapatikana wap mengine muachie yyGB 3 ni kifurushi cha kutumia saa 1 tuu kama unatumia kuchati labda ndio kitakaa hizo siku tano
Bonyeza *149*03# alaf utafuTa maelekezo mkuuNajiungaje mkuu msaada tafadhali
*149*03#unakipata wap kifurushi hicho mkuu
halotelhv wana IT ni mtandao gani una vigezo vifuatavyo katika internet kwa matumizi ya kompyuta/ laptop.
1. una speed ya hali ya juu.
2. vifurushi vyake vya MB ni nafuu.
3. hausumbui wakati wa kudownload.
Hapana sio kweli nime stream live game mbili ya Manchester Derby na Game ya Chelsea vs Swansea zote full dk 90 na bado kufungua browser ,nimechek asubui zimebaki MB 1510GB 3 ni kifurushi cha kutumia saa 1 tuu kama unatumia kuchati labda ndio kitakaa hizo siku tano
I recommend vodacom.
Hapana sio kweli nime stream live game mbili ya Manchester Derby na Game ya Chelsea vs Swansea zote full dk 90 na bado kufungua browser ,nimechek asubui zimebaki MB 1510
Nimemjib mshikaji aliyesema icho kifurushi kinaka saa 1 tu kimeisha labda kwa kuchat ndo nikamwambia nimetumia kuangalia Live Game mbili za Mpira pamoja na kuchat lkn bado hakijaisha Mb ka 1510 zimebaki nasubiria leo tena usiku nichek Uefa Psg vs Arsenal , sbb kwangu mm Voda inaonyesha bila ku buffer kuliko HalotelSijakuelewa mkuu.
Nimemjib mshikaji aliyesema icho kifurushi kinaka saa 1 tu kimeisha labda kwa kuchat ndo nikamwambia nimetumia kuangalia Live Game mbili za Mpira pamoja na kuchat lkn bado hakijaisha Mb ka 1510 zimebaki nasubiria leo tena usiku nichek Uefa Psg vs Arsenal , sbb kwangu mm Voda inaonyesha bila ku buffer kuliko Halotel